Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kweli wamenufaika sanaaaaa.Ndo maana wanazidi kunung'unikaWatumishi wa umma wamenufaika sana na utawala wa Rais Magufuli, 306,917 wamepandishwa vyeo na madaraja na kulipwa madai yao mbalimbali ya jumla ya shilingi bilioni 472.6.
Kati ya hizo shilingi bilioni 114.5 yalikuwa ni madeni ya mishahara na shilingi bilioni 358.1 yalikuwa ni madeni yasiyokuwa ya mishahara kama vile uhamisho.
Watumishi wengi wa umma ni mashahidi jinsi walivyopandishwa vyeo na madaraja wakati wa utawala wa Rais Magufuli baada ya kugota katika madaraja hayo kwa miaka mingi. Kupandisha watumishi 306,917 kati ya watumishi takriban 500,000 wa umma haijawahi kutokea.
Viva Rais Magufuli, viva watumishi wa umma. Kura zetu tunampa Mhe Rais Magufuli. (Source za takwimu ni hotuba ya Rais Magufuli akifunga Bunge tarehe 16 Juni 2020).
Tunakwenda na Rais Magufuli.
Leta ushahidi, mm ni mtumishi hakuna daraja lolote nililopandishwa na hali no hiyo hiyo kwa mke wangu ambaye pia ni mtumishi, wafanyakazi wenzetu wote pia salary slip zinasoma vilevile.. Mwaka wa tano sasa.. Unaandika mambo kujihadaa mwenyewe...Ndugu yangu, hawa ni watumishi wa aina zote na kada zote. Watumishi wenyewe wanajua walivyonufaika na wana jambo lao la kufanya tarehe 28 Okt. Ni kumpa kura zote JPM
Haahaa labda itakuwa ni wa ikuluHapa unazungumzia watumishi wa kada gani
Ukimaliza hii uje useme pia umeondoa fao la kustaafu sasa mtumishi atachukua Pesa zake zote pindi atakapostaafu!!Watumishi wa umma wamenufaika sana na utawala wa Rais Magufuli, 306,917 wamepandishwa vyeo na madaraja na kulipwa madai yao mbalimbali ya jumla ya shilingi bilioni 472.6.
Kati ya hizo shilingi bilioni 114.5 yalikuwa ni madeni ya mishahara na shilingi bilioni 358.1 yalikuwa ni madeni yasiyokuwa ya mishahara kama vile uhamisho.
Watumishi wengi wa umma ni mashahidi jinsi walivyopandishwa vyeo na madaraja wakati wa utawala wa Rais Magufuli baada ya kugota katika madaraja hayo kwa miaka mingi. Kupandisha watumishi 306,917 kati ya watumishi takriban 500,000 wa umma haijawahi kutokea.
Viva Rais Magufuli, viva watumishi wa umma. Kura zetu tunampa Mhe Rais Magufuli. (Source za takwimu ni hotuba ya Rais Magufuli akifunga Bunge tarehe 16 Juni 2020).
Tunakwenda na Rais Magufuli.
Hakuna kitu Kama hicho ,watumishi ni ndugu zetu may be idara zingine but sio afya na elim, mbona wanalalamikaBora umetaka kujua ni wa idara zipi . Mkuu ni wa idara zote.
Sekta ya afya ni miongoni mwa watumishi waliogota miaka mingi bila kipandishwa vyeo kabla ya utawala wa Rais Magufuli, ila kwa sasa wengi sana wamepandishwa madaraja. Fanya utafiti japo kwa wachache utapata ukweli huu.
Bahati nzuri wao watumishi wanajua ukweli huu na watatoa appreciation yao kwa kumpa kura nyingi Mhe Rais Magufuli.
Baaada ya lissu kumlegeza JiweWatumishi wa umma wamenufaika sana na utawala wa Rais Magufuli, 306,917 wamepandishwa vyeo na madaraja na kulipwa madai yao mbalimbali ya jumla ya shilingi bilioni 472.6.
Kati ya hizo shilingi bilioni 114.5 yalikuwa ni madeni ya mishahara na shilingi bilioni 358.1 yalikuwa ni madeni yasiyokuwa ya mishahara kama vile uhamisho.
Watumishi wengi wa umma ni mashahidi jinsi walivyopandishwa vyeo na madaraja wakati wa utawala wa Rais Magufuli baada ya kugota katika madaraja hayo kwa miaka mingi. Kupandisha watumishi 306,917 kati ya watumishi takriban 500,000 wa umma haijawahi kutokea.
Viva Rais Magufuli, viva watumishi wa umma. Kura zetu tunampa Mhe Rais Magufuli. (Source za takwimu ni hotuba ya Rais Magufuli akifunga Bunge tarehe 16 Juni 2020).
Tunakwenda na Rais Magufuli.
Huoni aibu mataga?Watumishi wa umma wamenufaika sana na utawala wa Rais Magufuli, 306,917 wamepandishwa vyeo na madaraja na kulipwa madai yao mbalimbali ya jumla ya shilingi bilioni 472.6.
Kati ya hizo shilingi bilioni 114.5 yalikuwa ni madeni ya mishahara na shilingi bilioni 358.1 yalikuwa ni madeni yasiyokuwa ya mishahara kama vile uhamisho.
Watumishi wengi wa umma ni mashahidi jinsi walivyopandishwa vyeo na madaraja wakati wa utawala wa Rais Magufuli baada ya kugota katika madaraja hayo kwa miaka mingi. Kupandisha watumishi 306,917 kati ya watumishi takriban 500,000 wa umma haijawahi kutokea.
Viva Rais Magufuli, viva watumishi wa umma. Kura zetu tunampa Mhe Rais Magufuli. (Source za takwimu ni hotuba ya Rais Magufuli akifunga Bunge tarehe 16 Juni 2020).
Tunakwenda na Rais Magufuli.
Watumishi wa umma wamenufaika sana na utawala wa Rais Magufuli, 306,917 wamepandishwa vyeo na madaraja na kulipwa madai yao mbalimbali ya jumla ya shilingi bilioni 472.6.
Kati ya hizo shilingi bilioni 114.5 yalikuwa ni madeni ya mishahara na shilingi bilioni 358.1 yalikuwa ni madeni yasiyokuwa ya mishahara kama vile uhamisho.
Watumishi wengi wa umma ni mashahidi jinsi walivyopandishwa vyeo na madaraja wakati wa utawala wa Rais Magufuli baada ya kugota katika madaraja hayo kwa miaka mingi. Kupandisha watumishi 306,917 kati ya watumishi takriban 500,000 wa umma haijawahi kutokea.
Viva Rais Magufuli, viva watumishi wa umma. Kura zetu tunampa Mhe Rais Magufuli. (Source za takwimu ni hotuba ya Rais Magufuli akifunga Bunge tarehe 16 Juni 2020).
Tunakwenda na Rais Magufuli.
Baada ya kupandishwa huku, ni lini tena tutegemee kupandishwa? Au ilani inasema kuwa kupandishwa na kulipwa ni miaka mi5mi5 naomba mwongozo hapa pengine sikuwa na uvumilivu tu pesa zangu zilikuwa zimehifadhiwa salama ili nizipokee wakati huuWatumishi wa umma wamenufaika sana na utawala wa Rais Magufuli, 306,917 wamepandishwa vyeo na madaraja na kulipwa madai yao mbalimbali ya jumla ya shilingi bilioni 472.6.