Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

wale waliobomolewa nyumba kimara ila mwanza zikaachwa wanasemaje kwani?
 
Sijui Leo umeenda chooni kweli?

Doto James
Heri James
Furaha James
Ruth Joseph


Hao ni watoto?
± na sukuma Gang
 
Mkurugenzi aliyemtwanga risasi mtu kanisani,Kalemani,Dotto na Herry James,bintie wa Morogoro,nk kwa uchache ukiona huyo bonge kakosa teuzi labda akutaka.
 
Msukuma aliyekosa teuzi zama zile atokaa apate tena.Alileta ukabila na udini nchi huku waislamu wakibaguliwa Shehe Ponda akafunua mdomo yakamkuta ya kukaa ndani miezi.Kaskazini ilichukiwa sio kwa teuzi wala maendeleo.
 
Hata hili pia watakupinga tu😡!
 
Wote tuanzishe mada ila hizi za huyu ndugu huwa ni below IQ 0.00000001 mpaka aibu na ndio stearing w kuanzisha mada hapa JF , yaani JF hawataki waanzisha mada critic , intelligent , logic , wanataka mada nyepesi nyepesi zisizo na kichwa Wala miguu mada critic , intelligent, wanafuta ,haya Jiwe alisema ulaya ni kwa mabeberu mbona watoto wake wote wako huko na wengine wanasomea huko ? Hizi mada uchwara ndio JF wanazipenda .
 
Jf ni jukwaa huru.

Utataseka sana manka!
 
Sasa nani alimkataza kumweka bungeni mtoto wake ?.Uamuzi wake. tu
 
Ukabila na upendeleo wa Magufuli ulikuwa wa kisayansi ni mpaka uwe umesoma shule zote za chekechea,msingi,na uwe umesoma vidato vyote sambamba na degrees zote ndipoutakapoweza kuuona ukabila na upendeleo wa Magufuli.
 
Kwa mara ya kwanza umeandika pambaf!
(As differing from ujinga)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…