Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Atekeleze alichoshauriwa na Askofu Valentino Mokiwa.
 
Huyu si Raisi wa wakristo tu kuwa making???pia unamwambea Rais ili aje kuwa nani baadae wakti hapo alipo tu inampasa yeye ndio aombeee watu masikini wawe na uhakika wa maisha kama yeye,,,kuna watu paka leo wanalala nje,,hawali Milo mitatu,,wanakunywa Maji na mbwa na ngombe,,,nan kati ya yy na hawa wanapaswa kuombewa....mnaleta unafki mbaka katka mambo ya Mungu.....hv n kweli hujui nani wakuombewa hapa Tz paka umtaje mtu mwenye maisha mazuri paka kufa kwake????mnatuchanganya sana nyinyi mliosaaau akili zetu katka kupenda na kutembea empty
 
Nitumia hivyo si kwamba nawabagua wenzetu Hapana ila ni kwa sababu kundi kubwa la wakristo wanaabudu siku ya Jumapili. Pia ikifika Ijumaa nitawaomba ndugu zetu waislamu wamwombee.
Aliekwambia kusali n jpil tu n nan??
 
Nitumia hivyo si kwamba nawabagua wenzetu Hapana ila ni kwa sababu kundi kubwa la wakristo wanaabudu siku ya Jumapili. Pia ikifika Ijumaa nitawaomba ndugu zetu waislamu wamwombee.
Ijumaaa mbona imepita hukusema? Kuwa makini aisee.....
 
Kabla hujatoa kibanzi katika jicho la mwenzio ni vyema ukatoa boriti lililoko katika jicho lako. Usihukumu usije ukahukumiwa.
Hv kwannn huyu JPMMM anaombwa sana kuombewa kuliko wenzake wa kipindi kile? Anataka kuwa mtakatifu nn? Ana hofu gani moyoni mwake??alafu kwannn anapenda sana kutoa mifano au kuongea kilugha katka mikusanyiko ya watu wa makabila tofauti?
 
Jamani naomba mniombee ili niweze kumuombea rais,maana mwenzenu nashindwa kabisa.LAKINI NGOJA LEO NIKIRI TU MAGUFULI NI RAIS TULIYEMTAKA KWA MIAKA MINGI SANA,ANA SHIDA MOJA TU,HAJUI NINI MAANA YA DEMOKRASIA.
 
Nitumia hivyo si kwamba nawabagua wenzetu Hapana ila ni kwa sababu kundi kubwa la wakristo wanaabudu siku ya Jumapili. Pia ikifika Ijumaa nitawaomba ndugu zetu waislamu wamwombee.
Waislam wanaswali siku zote kwa siku mara 5 siyo ijuma tu .
 
Je mwanao akinyea kiganja cha mkono wako mmoja utakikata ukitupe?
Binafsi sina mtoto mwenye tabia ya kunyea kiganja na ikitokea hata kwa bahati mbaya nitampeleka Mirembe kwa uchunguzi,kwa hiyo usitoe mifano mfu.
 
Kuna wanaojichukulia wao watoto yatima na kwenda kuomba nchi za ulaya kuwatatulia kero zao hawajui tatzo la machafuko huanzia kwa hao wanao waita waamuzi? shame on them
 
Binafsi sina mtoto mwenye tabia ya kunyea kiganja na ikitokea hata kwa bahati mbaya nitampeleka Mirembe kwa uchunguzi,kwa hiyo usitoe mifano mfu.
Majibu ya kifour na ni kilaza kabisa haya,,nani alie kwambia msemo wa mtoto akikunyea kiganjani una maana ya kwako unayomaanisha?
 
MAGUFULI MAGUFULI MAGUFULI FROM EAST TO WEST AFRICA!

Jamani mtu apewe sifa zake! Hapa Lome umeanza mkutano wa Africa wa MARITIME SECURITY. Sasa cha ajabu Mwenyekiti wa mkutano Rais wa Togo leo katika ufunguzi alizungumzia wizi kwenye bandari za Afrika. Akahitimisha kwa kusema HUENDA TUNAHITAJI KINA MAGUFULI WENGI (Kwa kifaransa).

Nilikuwa na wajumbe wa TZ tulitizamana tukaishia kupigana kope! Lakini Jumamosi ya leo hapa Togo kumefanyika usafi mji mzima! Wenyeji wanaita kwa utani SAMEDI DE MAGUFULI! Tafsiri ni "JUMAMOSI YA MAGUFULI"!!!

Ni kweli mitume haipendwi kwao?!!! Niliwatembeza wajumbe wa TZ wajionee wenyewe rais wao anavyoigwa!!
 
These are petty issues!
 
Uzuri mmeshagundua kuwa anapenda sifa.... so mkikazana mtatunukiwa taji!!
 
Ivi akisifiwa uko nje na kelele zao inatosha na sisi tuanze kumsifia hata kama tunaona mambo hayaendi kweli hii nchi imejaa viazi mbatata hapa muhimi ni wewe je unaona kweli umepata kiongozi achana na hadithi za nabii hakubaliki kwao unaona kabisa chuma kimejinyonga hiki umsifie kisa kasifiwa nje hao nje ni akina nani mpaka watusemee sisi.
 
Asante mh Rais kwa kazi kubwa unayoifanya. Licha ya mie kuwa mfuasi wa chadema na ukawa lakini unapofanya vizuri nitakupongeza. Ikitokea wenzango wakapinga hata lilio la ovyo nitapinga nao bila kujali uhusiano wao na mimi kiitikadi.

Nakupongeza kwa kuhakikisha sasa fedha inaanza kushuka chini. Watu sasa tuko bussy vijiji kwani perdiems za kumwaga. Hongera sana kwa kuendelea kuwa mbunifu na kuthubutu. Haya makerere ya wenzangu yanayojenga taswira ya kuwa Watanzania hawakupenzi basi yafe na yashindwe kwa jina la yesu.

Asante.
 
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
unaongelea juu ya nini wewe mleta post?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…