Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu si Raisi wa wakristo tu kuwa making???pia unamwambea Rais ili aje kuwa nani baadae wakti hapo alipo tu inampasa yeye ndio aombeee watu masikini wawe na uhakika wa maisha kama yeye,,,kuna watu paka leo wanalala nje,,hawali Milo mitatu,,wanakunywa Maji na mbwa na ngombe,,,nan kati ya yy na hawa wanapaswa kuombewa....mnaleta unafki mbaka katka mambo ya Mungu.....hv n kweli hujui nani wakuombewa hapa Tz paka umtaje mtu mwenye maisha mazuri paka kufa kwake????mnatuchanganya sana nyinyi mliosaaau akili zetu katka kupenda na kutembea emptyNdugu zangu watanzania wenzangu. Tafadhali nawasihi katika jina la Mungu kwamba leo unapotoka kwenda kuabudu, pamoja na mambo mengine yote utakayoyaomba, naomba usisahau kumuombea Rais wetu John Pombe Magufuli ili Mungu amjalie afya na hekma ya kuingoza nchi yetu. Pia kemea kwa jina la yesu maadui wote wenye hila na mipango mizuri ya Rais wetu ya kuiongoza nchi yetu washindwe. NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA NA MUNGU AWABARIKI.
Aliekwambia kusali n jpil tu n nan??Nitumia hivyo si kwamba nawabagua wenzetu Hapana ila ni kwa sababu kundi kubwa la wakristo wanaabudu siku ya Jumapili. Pia ikifika Ijumaa nitawaomba ndugu zetu waislamu wamwombee.
Ijumaaa mbona imepita hukusema? Kuwa makini aisee.....Nitumia hivyo si kwamba nawabagua wenzetu Hapana ila ni kwa sababu kundi kubwa la wakristo wanaabudu siku ya Jumapili. Pia ikifika Ijumaa nitawaomba ndugu zetu waislamu wamwombee.
Hv kwannn huyu JPMMM anaombwa sana kuombewa kuliko wenzake wa kipindi kile? Anataka kuwa mtakatifu nn? Ana hofu gani moyoni mwake??alafu kwannn anapenda sana kutoa mifano au kuongea kilugha katka mikusanyiko ya watu wa makabila tofauti?Kabla hujatoa kibanzi katika jicho la mwenzio ni vyema ukatoa boriti lililoko katika jicho lako. Usihukumu usije ukahukumiwa.
Waislam wanaswali siku zote kwa siku mara 5 siyo ijuma tu .Nitumia hivyo si kwamba nawabagua wenzetu Hapana ila ni kwa sababu kundi kubwa la wakristo wanaabudu siku ya Jumapili. Pia ikifika Ijumaa nitawaomba ndugu zetu waislamu wamwombee.
Binafsi sina mtoto mwenye tabia ya kunyea kiganja na ikitokea hata kwa bahati mbaya nitampeleka Mirembe kwa uchunguzi,kwa hiyo usitoe mifano mfu.Je mwanao akinyea kiganja cha mkono wako mmoja utakikata ukitupe?
Majibu ya kifour na ni kilaza kabisa haya,,nani alie kwambia msemo wa mtoto akikunyea kiganjani una maana ya kwako unayomaanisha?Binafsi sina mtoto mwenye tabia ya kunyea kiganja na ikitokea hata kwa bahati mbaya nitampeleka Mirembe kwa uchunguzi,kwa hiyo usitoe mifano mfu.
These are petty issues!MAGUFULI MAGUFULI MAGUFULI FROM EAST TO WEST AFRICA
Jamani mtu apewe sifa zake! Hapa Lome umeanza mkutano wa Africa wa MARITIME SECURITY. Sasa cha ajabu mkiti wa mkutano Raiswa Togo leo katika ufunguzi alizungumzia wizi kwenye bandari za africa. Akahitimisha kwa kusema HUENDA TUNAHITAJI KINA MAGUFULI WENGI!!!! Kwa kifaransa!Nilikuwa na wajumbe wa TZ tulitizamana tukaishia kupigana kope! Lakini jumamosi ya leo hapa Togo kumefanyika usafi mji mzima! Wenyeji wanaita kwa utani SAMEDI DE MAGUFULI! Tafsiri ni "JUMAMOSI YA MAGUFULI"!!! Ni kweli mitume haipendwi kwao?!!! Niliwatembeza wajumbe wa tz wajionee wenyewe rais wao anavyoigwa!!
View attachment 411469View attachment 411470View attachment 411471
unaongelea juu ya nini wewe mleta post?Asante mh Rais kwa kazi kubwa unayoifanya. Licha ya mie kuwa mfuasi wa chadema na ukawa lakini unapofanya vizuri nitakupongeza. Ikitokea wenzango wakapinga hata lilio la ovyo nitapinga nao bila kujali uhusiano wao na mimi kiitikadi.
Nakupongeza kwa kuhakikisha sasa fedha inaanza kushuka chini. Watu sasa tuko bussy vijiji kwani perdiems za kumwaga. Hongera sana kwa kuendelea kuwa mbunifu na kuthubutu. Haya makerere ya wenzangu yanayojenga taswira ya kuwa Watanzania hawakupenzi basi yafe na yashindwe kwa jina la yesu.
Asante.