Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Sikuwahi kusikia mahali popote Dkt Magufuli akitoa ahadi ya Laptop kwa kila mwalimu....Watanzania tuache mzaha. Tumepata mtu serious...tuache afanye mambo ambayo ni kipaumbele.

Sasa mwalimu kumpa Laptop ya kazi gani!? Badala mshauri tuweke desktop kwenye mashule...ili zifaidishe na wanafunzi pia...nyinyi mnaleta mzaha.

Kila kitu ambacho Magufuli anafanya kipo kwenye Ilani ya CCM....hilo la Laptop kwa kila mwalimu halimo. Tuache mzaha.
 
Magufuli kwa ustadi kabisa kaanza kwa kasi kutekeleza ilani ya chadema kama kukataa misafara, kufuta sherehe za kipuuzi na kuelekeza pesa kwenye jamii, kinachofata sasa Magufuli futa kile kibatari cha kichawi wakati tukisubiri ahadi yako ya
laptop kwa kila mwalimu
mil 50 kwa kila kijiji
ujenzi wa Reli
ufufuaji wa viwanda na ajira mil 1.5 kila mwaka.

naiona ilani ya magamba iko kabatini huku ikitekelezwa ya chadema

Asante umeanza kumkubari. Huyo ndio M4C. Atafuta pia posho zote za wabunge. Na KUB atapewa vits.
 
Duh, kuna watu kweli wanajua kujifariji.

kupunguza misafara ya kipuuzi ilikuwa kwenye ilani ya CCM...kufuta matamasha na safari za kipiizi ilikuwa kwenye ilani ya CCM....Magufuli endelea kutumia ilani ya Chadema na usione tabu kutuuliza namna ya kutekeleza...
 
kupunguza misafara ya kipuuzi ilikuwa kwenye ilani ya CCM...kufuta matamasha na safari za kipiizi ilikuwa kwenye ilani ya CCM....Magufuli endelea kutumia ilani ya Chadema na usione tabu kutuuliza namna ya kutekeleza...
Utahangaika sana mwaka huu.
 
Mm ukawa damuni lakini kwa Magufuli nimepiga breki,kwa staili hii ya Magufuli miaka mitani tumekwisha na kufutika katika ramani za siasa.
 
wadau,kwa haya matukio mawili yameniacha mdomo wazi
1.kulazimisha fedha zilizo changwa na private entities ikiwa ni pamoja na mashirika ya umma kwa ajili ya kuwakaimu wabungw wapya mlo wa usiku kwenda kwenye matumizi mengine
2.hili la kufuta sherehe za uhuru

Duu najiuliza akipata kofia zote mbili yani mamlaka kamili kichama itakuwaje??????
 
Sina maneno mengi na wala sipigi siasa, naiona nuru kuu katika nchi yetu. Mh. Rais wangu umeanza vyema sana. Nikiwa mtumishi mwenzako wa umma nitakuunga mkono kwa maneno na matendo yangu. Najua kwa kasi hii impact itaonekana baada ya muda mfupi sana. Ntakuombea kanisani Mungu akufungue macho ukaitende haki kuu, na ukawafanyie kazi watanzania uliyowaahidi. Mwanzo mwema, Mungu akuongoze na kukutia nguvu. Hakika umetubadili kwa Muda mfupi sana. Endelea, unafanya kazi ya Mungu.
 
Ameeeeen, utumishi wa umma sio kichaka kama watu wanavyofikiri, wapo wachache wanazingua ila wengi sana wako frustrated tu. Magufuliiiiiii= Tumaini lililorejea
 
BABA UTALAZA WATU NJAA

Mara ya kwanza ulivamia ofisi za wizara ya fedha


Mara ya pili ukala korosho na makatibu wakuu

Mara ya tatu ukavamia Muhimbili

Mara ya nne ukavamia bandali


Haikutosha ukapiga stop safari za nje(mpk ukapelekea taifa stars ipigwe wiki kwa kukaid amri😀

Ile hela ya sherehe ya bunge ikaja Muhimbili watu wakaishia kupiga miayo

Sasa hakuna sherehe za uhuru!!

Utalaza watu njaa mzee😀😀😀

Sijui kesho utakuja na lipi??

Gadyson Baita
Mchambuzi wa siasa na kada UVCCM
?2015

Fisadi wewe! hama nchi mapema hapa kazi tu
 
Magufuli ananikumbusha mbali sana.

Pale mitambo inapojaribiwa na kuandaliwa kabla Sherehe au Tamasha halijaanza rasmi.
Fundi mitambo anapoanza kuita "Mike Test One, Two, Tunajaribu tunajaribu"
hua inaamsha kiroho fulani hivi mpaka unahisi sherehe inachelewa kuanza.

Kwa vitendo vya awari kabisa alivyofanya Dr John Pombe vinaamsha roho za Watanzania na sasa tunahisi kwa nini Kazi rasmi inachelewa.

Please please Dr malizia kuandaa Mitambo Kazi Rasmi ianze Watanzania tuna Hamu!!
 
mtakuja mnalia humu kuwa jamaa dikteta subirini walimu waanze kuvaa uniform ili wasitoroke kazini
 
mtakuja mnalia humu kuwa jamaa dikteta subirini walimu waanze kuvaa uniform ili wasitoroke kazini
Mbona Taasisi nyingi wanavaa uniform? Hata mama ntilie,konda wa daladala wana nguo rasmi za kazi!
 
Uchapakazi wa Rais Dkt John Magufuli unatuma ujumbe si kwa maafisa wa Tanzania pekee, bali na nchi za jirani pia na kuwaacha viongozi wa nchi hizo kwenye wakati mgumu. Kenya ambayo imekuwa ikifuatilia siasa za Tanzania tangu wakati wa kampeni, imeonesha kupenda mbinu za Magufuli na wananchi wake wanatamani mtu kama yeye. Kwa kipindi kifupi alichoingia madarakani, Magufuli amefanya mambo makubwa na wananchi wamependa. Ziara yake ya kushtukiza kwenye hospitali ya Muhimbili ilifichua uovu mwingi na kupelekea kufutwa kwa bodi ya wakurugenzi wa hospitali hiyo na kumuondoa Kaimu Mkurugenzi wake, Dk Hussein Kidanto.

Ili kupunguza matumizi makubwa ya fedha za serikali kwaajili ya kugharamia safari za nje za viongozi wa nchi, Magufuli aliamua kuzisitisha mara moja. Dkt Magufuli pia alielekeza kiasi cha shilingi milioni 225 zilichangwa kwaajili ya kugharamia hafla ya wabunge kupongezana mjini Dodoma zipelekwe kwenda kununua vitanda. Badala yake shilingi milioni 15 pekee zilitumika kwaajili ya sherehe hiyo. Siku chache baadaye vitanda hivyo na vifaa vingine vilinunuliwa na kupelekwa Muhimbili. Jumatatu hii Magufuli alitangaza kuondoa sherehe za maadhimisho ya siku ya Uhuru December 9 na fedha za maandalizi hayo zitumike kwa mambo mengine muhimu.

Hayo na mambo mengine yamefanya Dkt Magufuli atrend nchini Kenya. Hizi ni baadhi ya tweets za wakenya:

Magufuli akuje atoe Uhuru lock juu ye ni Pombe. ? Dan Did It? (@Danielki_) November 23, 2015 Uhuru Kenyatta needs to borrow a leaf from his fresher counterpart in Tanzania Magufuli!!! ?

Fifi (@Sly_lis) November 23, 2015 Magufuli less than amonth in office vs Uhuru more than 2.5 yrs in office. #StateOfTheNation ? SHADRACK MUSYOKI (@Shadie_Musyoki) November 23, 2015 #StateOfTheNation magufuli went into action mood 2nd day in office,3 years down the line,uhuru is still forming committes to tell him to act ?

TeamMafisi Pope (@MafisiPope) November 23, 2015 Pres. Uhuru has been talking since 2013, Pres. Magufuli has been ACTING since 3 weeks ago. More fruits in 3 weeks action than 3yrs talk. ? Collins BETT, Esq.

(@CollinsFabien) November 23, 2015 As Tanzanians wake up to what Magufuli has done, Kenyans wake up to what Uhuru has promised @Ma3Route ? Muthui Mkenya (@MuthuiMkenya) November 23, 2015 "President Uhuru Kenyatta" should act not give statement. We want see him act like Buhari, and Magufuli. He has talked enough. Act now!! ? George Onyango

(@geogias) November 23, 2015 Kenya should Take Notes from Magufuli ! This guy has less Talks & more action? ? B L U E P R I N T (@iambarea) November 24, 2015 Since Kenyans want Magufuli so bad, we can think of turning Kenya into one of our regions ? Magembe (@MSungwa_) November 24, 2015 Magufuli will deliver Buhari will deliver In Kenya we need a cross breed of both. Maybe we try Mashirima Kapombe. Weird names may work! ? Mathaland? (@MwalimuTony) November 23, 2015 Magufuli has in 2wks achieved more than Kenya's Jubilee government 3yrs reign of mediocrity ? Stro'bae (@labokaigi) November 23, 2015 If only Kenya had a Magufuli ? Mwanthi ?

(@Mwanthi_W) November 23, 2015 Magufuli should come and be the president of Kenya too bana.. ? 孫子兵法? (@Kubz_Bomaye) November 23, 2015 Can we have a magufuli clone in Kenya pliz ? ? Alawi #77 (@alawiabdul) November 22, 2015 President Magufuli serious on cost cutting. Kenya should learn from this https://t.co/E021SxAnWa ? Nner? (@OriemaOduk) November 22, 2015 GOD Please bless kenya with a president like Tanzanians president Magufuli? #XtianDelaBlessingTrain . ?

Sandyihachy (@sandie_swat) November 22, 2015 I am now convinced more than ever than Kenya needs a president from a minority group we have never heard of like Magufuli is to Tanzania ? anita (@anitankirote) November 22, 2015 While in Kenya MPs are accompanying the DP to The Hague, see next what Magufuli did.. ?

ButterCup (@nana63cess) November 22, 2015 Kenya and Tanzania should merge so that Magufuli becomes our president too. ? Mungai (@erastu_) November 21,

2015 VIVA PESIDENT VIVA
 
Back
Top Bottom