Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna baadhi ya watu bado wanadhani anachokifanya Rais Magufuli ni nguvu za soda!Mkuu ni kweli usemacho Mhe JK alipolizinduwa Bunge la tisa hotuba yake ya kwanza kuhutubia Bunge alisema "watu wanasema Mimi mpole nasema nitakuwa mkali" lakini hakuwa mkali mpaka tumemsikia Mhe Mnyika alisema Rais ni dhaifu na Serikali dhaifu.
# SASA KAZI TUU #
Ajenda zilizobaki kwa sasa kama ile inayoendelea Mwanza!Magufuli kawaweka UKAWA kwenye wakati mgumu sana, kwa sasa hawajua washikie ajenda gani, ya ufisadi isharudi CCM siku nyingi, i kama wamekata tamaa hivi, mie sioni hata haja ya uchaguzi wa Raisi 2020, soon CHADEMA itakuwa kama NCCR na Lowassa kuwa kama Mrema
Magufuli atatusaidia kuufuta upinzani..
We unaongea hakuna tofauti na mlevi, inamaana magufuli atakuwa na ubavu wa kumpeleka mahakamani kikwete kwa matumizi mabaya ya ofisi kuhusu richmond au umeamua tu kutoa ushuzi humu.
Kama Magufuli ataendelea hivyo basi watakaoumia ni CCM na sio wapinzani.
CCM miaka yote inawekwa madarakani kwa rushwa na pesa za rushwa zinapatikana kupitia mikataba feki na kufanya manunuzi kwa bei ya kuruka.
Pesa nyingi zinazoiweka CCM madarakani ni zile za kuchota kwenye mashirika ya umma kinyemela.
Sasa kama Magufuli atagoma kufanya huo ushetani uliofanywa na watangulizi wake basi ni dhahiri CCM itaporomoka huku Magufuli akibakia na kura zake mkononi na UKAWA watapaa kwa kasi kwani wabunge wengi walioko CCM wanaingia madarakani kwa mahela ya wizi wanayochoteana huko juu. Ndio maana walinunua masanduku ya ziada ya kura na kupiga kura kabla na kuzigawia kila majimbo .
Hivi leo Magufuli akisema anataifisha Majumba waliyogawana huku serikalini watakaolia ni UKAWA CCM .
Leo Magufuli akisema anawatimua kazi hao wafanyakazi wenye Vyeti feki watakaoumia ni CCM mana watoto wao wengi ndio wamefoji vyeti na wameajiriwa kwenye mashirika na idara mbalimbali. UKAWA watashangilia kuona kuwa walichokua wanakipigania kinatekelezwa.
Amini usiamini baada ya miaka miwili maadui wakubwa wa Magufuli watakua wapo ndani ya CCM.
Vigogo wengi wa CCM ndio wanaomiliki majumba na biashara nyingi za malori.
Leo hii Magufuli akitengeneza Reli na kuboresha usafirishajo wa treni watakaolia na kufilisika ni wanachama na vigogo wa CCM na sio UKAWA.
Leo hii pakiwa na katiba na sheria bora watakaoumia ni CCM maana walishazoea ulaghai na uovu .
Jambo lolote jema litakalofanywa katika hili taifa litawaumiza sana CCM na mabosi wao waliokua wanawakuwadia mali za watanzania. UKAWA hawajawahi kunufaika na mikataba feki na wawekezaji.
Mirija ya unyonyaji ilikua inatumiawa na CCM na watoto wao.
Leo hii kuna wabunge,waandishi wa habari na wanachama wa CCM wanaojifanya sana kumuunga mkono Mh.Magufuli lakini wamelenga madaraka ya uwaziri na sio maemdeleo kwa wananch .Hawa ni wanafiki na wote wako CCM na sio UKAWA.
Hata Kikwete walimsifu na kutoa kila tamko jema juu yake huku wakilenga madaraka na walipopata wakageuza nchi kuwa shamba la bibi.
Baada ya kipindi hiki cha mgao wa vyeo ndani ya serikali ukipita basi hawa apambe watapukutika sana
Hivi haya anayoyatekeleza Magufuli yalikuwa yanapigiwa kelele na kina nani???
Wakati tuki furahia haya ya nagufuli , tuna muomba amalize ya zanzibar maalim aapishwe amsaidie naye aondoe uoza huko znz..seif hataki mzaha na kazi ...mpe haki yake Tanzania kwa ujumla ibadikike
Magufuli anajadiliwa sana kwa sababu siyo chagua la watanzania ni chaguo la ccm