Borderlandz
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 548
- 729
Sasa kama vichwa vya habari kwenye magazeti na media ni TANZANIA KUNG'ARA KIVIWANDA au AFUKUZA WATUMISHI 9000 au AKAMATA whatever bandarini watashindwaje kumpenda, issue ni kuwa waonje UTANZANIA hata kwa mwezi mmoja ndio watajua wamependa pasipo pendeka.