The Hurricane
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 760
- 1,048
jamaa ana hisia kali na jpmMahaba yakizidi! Mhhh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa ana hisia kali na jpmMahaba yakizidi! Mhhh!
Unafiki mtupu, speech nzuri zaidi na za MboweKwa kweli jpm anajitahidi Sana kutoa speech zilizoja hisia Kali na mifano na mikakati mpaka raha. Ukimsikiliza huchoki na akukaribia kumaliza unatamani aendelee. Jpm ni zaidi ya maraisi wote duniani. JK alikuwa akitoa speech nasinzia kabisa zilikuwa hazina mvuto kabisaaa
Mazwazwa ya CCM achanayo mkuuTuwe wakweli na tusifuate ukabila kuwa fulani ni Msuk......mwenzangu, JPM hawezi kumzidi JK kwa speech hata kwa sekunde na yupo mbali sana. Nina uhakika pamoja na 2 years of my experience nitamzidi mbali nikipambanishwa nae
Wasukuma jamani!!!!Kwa kweli jpm anajitahidi Sana kutoa speech zilizoja hisia Kali na mifano na mikakati mpaka raha. Ukimsikiliza huchoki na akukaribia kumaliza unatamani aendelee. Jpm ni zaidi ya maraisi wote duniani. JK alikuwa akitoa speech nasinzia kabisa zilikuwa hazina mvuto kabisaaa
Mkuu uliona mbali sana....tutampima kwa matokeo kama vifaa vya kutosha mahospitalini, madawa ya kutosha, wafanyakazi wa kutosha hasa elimu na afya, vitendea kazi vya kutosha mashuleni, wanafunzi wenye sifa elimu ya juu wote wanapata mikopo, barabara nzuri, maji salama, umeme wa uhakika, uchumi wa mtu mmoja mmoja umekua n.k hatutampima kwa ziara maofisini
Watu hawakufikiria ipasavyo. Mimi binafsi sikuweza kutoa hitimisho juu ya haya yaliyokuwa yanasemwa ila nilimpa muda fulani ili kumpima kama kweli anaweza kumudu majukumu ya kuisogeza Nchi sehemu moja kwenda sehemu nyingine...wewe jamaa akili zako ni ndogo
Laghai sana huyo mtu unaemsifia hapa jukwaani mkuu.Mh Rais ametengeneza kitu hatujakielewa ila at last umefika wakati kila mtanzania ni usalama wa taifa. Majambaz wote na majizi ya rasilimali yote hayana pakujificha..
Explain more mkuu.Mh Rais ametengeneza kitu hatujakielewa ila at last umefika wakati kila mtanzania ni usalama wa taifa. Majambaz wote na majizi ya rasilimali yote hayana pakujificha..