Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

*Na Emmanuel J. Shilatu*

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli (JPM) ni zawadi tuliyopewa Watanzania toka kwa Mwenyezi Mungu ndio maana siku.

Tangu awali JPM ameonyesha alianza na Mungu, anamtumainia Mungu na atamaliza na Mungu licha ya vikwazo na majaribu yote anayopitia.

*Baadhi ya Mambo yanayoonyesha JPM ni chaguo la Mungu ni:-*

1. UCHAGUZI MKUU 2015; Mojawapo kati ya watia nia waliokuwa hawana Wafuasi, mbwembwe, makando kando ni Dk. Magufuli. Hakuwa mgombea mwenye mtandao ndani na nje ya chama, hakuwa na uwezo wa kifedha, hakuna na wafuasi wengi kama walivyokuwa wagombea wengine lakini pasipo matarajio akapita vikwazo vyote, viunzi vyote na hatimaye Nov 5, 2015 akaapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kupitia Dk. Magufuli wengi walijifunza kuwa Mwenyezi Mungu akitaka kukupa mja wake wala hautumii nguvu.

2. UKUTA; Hii ilikuwa harakati iliyosukwa na Wapinzani kuhakikisha wanampinga Rais Magufuli kupitia mwamvuli wa wanachoamini ni udikteta.

Walijipanga kumpinga kupitia maandamano makubwa nchi nzima lakini ajabu yake hao hao walioanzisha harakati hiyo ndip hao hao waliyafuta maandamano. Jibi likawa rahisi kwa Watanzania walio wengi kuamini hayakuwa mapambano ya kupinga udikteta nchini ndio maana yaliweza kuyeyuka.

Kelele za maandamano zilikuwa kubwa mno kiasi wasiomtakia mema JPM, wasioitakia mema Tanzania wakajua wametunasa kwenye mtego wa machafuko, lakini liliyeyuka, likapita na kufutika kabisa.

3. KUSUSIA UCHAGUZI; Vyama vya upinzani viliamua kususia marudio ya chaguzi ndogo ili kupeleka salaam Dunia kuwa Tanzania hakuna Demokrasia, hakuna chaguzi huru na haki. Lengo kuu ni kumchafua Rais Magufuli na Serikali yake.

Ajabu yake, walisusa raundi moja, uchaguzi mwingine mdogo ulipoitishwa vyama vyote vya upinzani vile vile vilivyosusia uchaguzi wa awali walikimbilia fomu na hatimaye wakasimamisha wagombea pasipo madai yao ya msingi ya awali kutatuliwa, pasipo kufanyika kikao chochote kile cha kuonyesha walikutana na mamlaka na kuamua kwa pamoja kurudi kushiriki.

Kitendo cha wao kushiriki tena uchaguzi waliamua kusafisha anga kuwaadai ya Tanzania kukosa demokrasia, kutokuwa na chaguzi na tume huru hayakuwa ya kweli bali walikuwa na malengo NDANPyao machafu dhidi ya Rais Magufuli na Serikali yake.

4. MAANDAMANO YA 26/04/2018; Takribani mwaka mzima kulikuwa na uratibu wa kuandaa maandamano kwa ajili ya kumpinga Rais Magufuli na waratibu hao walifika mbali zaidi wakidai April 26 ni lazima Rais Magufuli atoke madarakani!

Uratibu huo ulikuwa ukifanyika kupitia mitandao ya kijamii na walihimiza Watanzania popote pale walipo Duniani wajitokeze hadharani kuandamana ili kumuondoa Rais Magufuli madarakani.

Siku ya siku ikafika, Watu waliondamana nje ya Tanzania hawakufika hata 15 na ndani ya nchi ya Tanzania hakuna hata mmoja aliyeandamana. Huu ni ushindi mwingine kwa Rais Magufuli, ni ushindi wa kishindo kwa Watanzania.

*Kwanini kila jambo la shinikizo linashindwa kufaulu?*

Tumeshuhudia kushindwa kwa Ukuta, kushindwa kwa maandamano ya April 26, tumeshuhudia kushindwa kwa kila aina ya mapandikizo ya chuki kwa Watanzania dhidi ya Rais Magufuli.

Sababu za kushindwa kufaulu ni kwa Watanzania:-

1. Kuridhishwa na utendaji wa Rais Magufuli

2. Kuridhishwa na kiwango cha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi unaofanywa na Serikali ya Rais Magufuli.

3. Kuridhishwa na kiwango cha kuheshimu na kulinda Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

4. Kuridhishwa na kiwango cha utawala bora.

5. Kuridhishwa na kiwango cha uhuru wa kidemokrasia.

6. Kuridhishwa na kiwango cha ulindwaji wa Haki za Binadamu

7. Kuridhishwa na kiwango cha hali ya ulinzi na usalama wa nchi.

8. Kuridhishwa na kiwango cha mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi nchini.

9. Kuridhishwa na kiwango cha ulinzi wa mali na rasilimali za Taifa.

10. Kuridhishwa na kiwango cha usimamizi wa mapato na matumizi hali iliyopelekea Serikali kupata hati safi kwa kiwango cha asilimia 90.

Hayo ni baadhi tu ya mambo yanayowafanya Watanzania kumuunga mkono na kuwa upande wa Rais Magufuli dhidi ya yale anayoyafanya.

Kwa kipindi kifupi kabisa Rais Magufuli amedhihirisha Uzalendo, Uchapakazi, Ushujaa na Ujenzi imara kwa Taifa. Hakika, Dk. Magufuli ni Rais bora wa kipindi chote.

Ndani ya kipindi kifupi Watanzania tunaona matunda ya Matokeo chanyA+ ya utendaji kazi uliotukuka wa Serikali ya Rais Magufuli.

*Mungu Ibariki Tanzania*
*Mungu Mbariki Rais Magufuli*

*Shilatu E.J*
 
Kikwete aliposema maisha Bora kwa Kila Mtanzania hatukumuelewa. Leo hii tumerudi nyuma sana kimaendeleo.
Maisha yamedorora.
Hakika Kikwete kweli wewe ndio ulikuwa chaguo la Mungu

Unanikumbusha wimbo wa Roma. Kuna mahali aliimba,
"Uchafu wa Mrisho unafanya msafi aonekane Benja..."

Leo hii tunaweza kusema, "Uchafu wa Magu unafanya msafi aonekane Mrisho..."

Beware tusidumbukie humo.
 
Wewe una lako jambo. Unaamini kwa akili yako kuwa 2015 uchaguzi ulikuwa huru na wa haki? Je chaguzi ndogo unaamini kuwa mlishinda kihalali?? Pili kama unaamini hayo yote ilikuaje serikali yote kuanzia wakuu wa Mikoa/Wilaya na hata ofisi ya Bunge yaani Naibu Spika wa Bunge la jamhuri kwenda kupambana na mgombea mmoja wa chama cha upinzani??

Haya yote ulioandika hapo juu ni hasira na aibu baada yakukosa damu ya Watz mliokuwa mmepanga kupata kwa kiwango kikubwa ktk maandamano. Damu ya kina Mh Lissu bado itawatesa hadi mnatoweka duniani.

Mwisho kama wewe ni Mkristo jaribu kutafakari kwa makini amri ya kwanza ktk amri kumi za Mungu. Pia kuna Mungu wa Yakobo na Mungu wa Baal. Sasa sijui wakwenu ni yupi kati ya hao? Wote mnaowakejeli Watz wacha Mungu siku yenu yaja.
 
Mleta mada anaitwa Emanuel J. Shilatu.....Tusitumie nguvu nyingi kubishana naye
 
Tanzania ilihitaji kiongozi wa aina hii (Strongman) katika kuipeleka nchi kwenye uchumi imara na wa uhakika. Watanzania lazima wafanye kazi badala ya kushinda kwenye mitandao na blah blah blah nyingi.
Mungu Ibariki Tanzania Mungu mlinde na kumbariki Rais Magufuli.
 
*Na Emmanuel J. Shilatu*

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli (JPM) ni zawadi tuliyopewa Watanzania toka kwa Mwenyezi Mungu ndio maana siku.

Tangu awali JPM ameonyesha alianza na Mungu, anamtumainia Mungu na atamaliza na Mungu licha ya vikwazo na majaribu yote anayopitia.

*Baadhi ya Mambo yanayoonyesha JPM ni chaguo la Mungu ni:-*

1. UCHAGUZI MKUU 2015; Mojawapo kati ya watia nia waliokuwa hawana Wafuasi, mbwembwe, makando kando ni Dk. Magufuli. Hakuwa mgombea mwenye mtandao ndani na nje ya chama, hakuwa na uwezo wa kifedha, hakuna na wafuasi wengi kama walivyokuwa wagombea wengine lakini pasipo matarajio akapita vikwazo vyote, viunzi vyote na hatimaye Nov 5, 2015 akaapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kupitia Dk. Magufuli wengi walijifunza kuwa Mwenyezi Mungu akitaka kukupa mja wake wala hautumii nguvu.

2. UKUTA; Hii ilikuwa harakati iliyosukwa na Wapinzani kuhakikisha wanampinga Rais Magufuli kupitia mwamvuli wa wanachoamini ni udikteta.

Walijipanga kumpinga kupitia maandamano makubwa nchi nzima lakini ajabu yake hao hao walioanzisha harakati hiyo ndip hao hao waliyafuta maandamano. Jibi likawa rahisi kwa Watanzania walio wengi kuamini hayakuwa mapambano ya kupinga udikteta nchini ndio maana yaliweza kuyeyuka.

Kelele za maandamano zilikuwa kubwa mno kiasi wasiomtakia mema JPM, wasioitakia mema Tanzania wakajua wametunasa kwenye mtego wa machafuko, lakini liliyeyuka, likapita na kufutika kabisa.

3. KUSUSIA UCHAGUZI; Vyama vya upinzani viliamua kususia marudio ya chaguzi ndogo ili kupeleka salaam Dunia kuwa Tanzania hakuna Demokrasia, hakuna chaguzi huru na haki. Lengo kuu ni kumchafua Rais Magufuli na Serikali yake.

Ajabu yake, walisusa raundi moja, uchaguzi mwingine mdogo ulipoitishwa vyama vyote vya upinzani vile vile vilivyosusia uchaguzi wa awali walikimbilia fomu na hatimaye wakasimamisha wagombea pasipo madai yao ya msingi ya awali kutatuliwa, pasipo kufanyika kikao chochote kile cha kuonyesha walikutana na mamlaka na kuamua kwa pamoja kurudi kushiriki.

Kitendo cha wao kushiriki tena uchaguzi waliamua kusafisha anga kuwaadai ya Tanzania kukosa demokrasia, kutokuwa na chaguzi na tume huru hayakuwa ya kweli bali walikuwa na malengo NDANPyao machafu dhidi ya Rais Magufuli na Serikali yake.

4. MAANDAMANO YA 26/04/2018; Takribani mwaka mzima kulikuwa na uratibu wa kuandaa maandamano kwa ajili ya kumpinga Rais Magufuli na waratibu hao walifika mbali zaidi wakidai April 26 ni lazima Rais Magufuli atoke madarakani!

Uratibu huo ulikuwa ukifanyika kupitia mitandao ya kijamii na walihimiza Watanzania popote pale walipo Duniani wajitokeze hadharani kuandamana ili kumuondoa Rais Magufuli madarakani.

Siku ya siku ikafika, Watu waliondamana nje ya Tanzania hawakufika hata 15 na ndani ya nchi ya Tanzania hakuna hata mmoja aliyeandamana. Huu ni ushindi mwingine kwa Rais Magufuli, ni ushindi wa kishindo kwa Watanzania.

*Kwanini kila jambo la shinikizo linashindwa kufaulu?*

Tumeshuhudia kushindwa kwa Ukuta, kushindwa kwa maandamano ya April 26, tumeshuhudia kushindwa kwa kila aina ya mapandikizo ya chuki kwa Watanzania dhidi ya Rais Magufuli.

Sababu za kushindwa kufaulu ni kwa Watanzania:-

1. Kuridhishwa na utendaji wa Rais Magufuli

2. Kuridhishwa na kiwango cha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi unaofanywa na Serikali ya Rais Magufuli.

3. Kuridhishwa na kiwango cha kuheshimu na kulinda Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

4. Kuridhishwa na kiwango cha utawala bora.

5. Kuridhishwa na kiwango cha uhuru wa kidemokrasia.

6. Kuridhishwa na kiwango cha ulindwaji wa Haki za Binadamu

7. Kuridhishwa na kiwango cha hali ya ulinzi na usalama wa nchi.

8. Kuridhishwa na kiwango cha mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi nchini.

9. Kuridhishwa na kiwango cha ulinzi wa mali na rasilimali za Taifa.

10. Kuridhishwa na kiwango cha usimamizi wa mapato na matumizi hali iliyopelekea Serikali kupata hati safi kwa kiwango cha asilimia 90.

Hayo ni baadhi tu ya mambo yanayowafanya Watanzania kumuunga mkono na kuwa upande wa Rais Magufuli dhidi ya yale anayoyafanya.

Kwa kipindi kifupi kabisa Rais Magufuli amedhihirisha Uzalendo, Uchapakazi, Ushujaa na Ujenzi imara kwa Taifa. Hakika, Dk. Magufuli ni Rais bora wa kipindi chote.

Ndani ya kipindi kifupi Watanzania tunaona matunda ya Matokeo chanyA+ ya utendaji kazi uliotukuka wa Serikali ya Rais Magufuli.

*Mungu Ibariki Tanzania*
*Mungu Mbariki Rais Magufuli*

*Shilatu E.J*
Chaguo la Mungu my Assss
sio kwamba kwa yeye kua Chaguo la Mungu ndio inamfanya kua Mtakatifu sana. Au kila afanyacho yupo sahihi.

Hapa ndio Makosa wengi mnafanya. Hatimaye mnamgeuza Kua "Mungu Mtu". Nimeona hadi Kule Televisheni ya Taifa TBC wanaweka Video za Miziki ya wana Kwaya wakiimba kumsifu JPM utadhani ni Yesu anasifiwa. Mwishowe mtakufuru Bure.

JpM Anaweza kua yupo pale, ili kusudi fulani la Mungu litimie. Lakini akafanya na mambo mengine yasiopendeza Watu. Kwasababu mwisho wa siku yeye ni binadamu tu.

Kushindwa kuandamana kwa Amani ni ishara
Ni ishara kua Udikteta umeshika Hatamu. Kwakua kuandamana ni Haki ya Msingi kwa kila mtanzania. Hakuna Lugha tamu hapo. Ni ukweli mchungu tu.

Rejelea pia na Historia; hata Wajerumani walihojiwa wale waliokuwepo wakati wa Hitler walimuona Hitler kua ndiye Chaguo la Mungu. Kwani maisha ya wajerumani yalikua Mazuri kuliko wakati mwingine wowote mpaka leo. Lakini ndiye alisababisha Vita Kuu ya pili ya Dunia.
 
*Na Emmanuel J. Shilatu*

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli (JPM) ni zawadi tuliyopewa Watanzania toka kwa Mwenyezi Mungu ndio maana siku.

Tangu awali JPM ameonyesha alianza na Mungu, anamtumainia Mungu na atamaliza na Mungu licha ya vikwazo na majaribu yote anayopitia.

*Baadhi ya Mambo yanayoonyesha JPM ni chaguo la Mungu ni:-*

1. UCHAGUZI MKUU 2015; Mojawapo kati ya watia nia waliokuwa hawana Wafuasi, mbwembwe, makando kando ni Dk. Magufuli. Hakuwa mgombea mwenye mtandao ndani na nje ya chama, hakuwa na uwezo wa kifedha, hakuna na wafuasi wengi kama walivyokuwa wagombea wengine lakini pasipo matarajio akapita vikwazo vyote, viunzi vyote na hatimaye Nov 5, 2015 akaapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kupitia Dk. Magufuli wengi walijifunza kuwa Mwenyezi Mungu akitaka kukupa mja wake wala hautumii nguvu.

2. UKUTA; Hii ilikuwa harakati iliyosukwa na Wapinzani kuhakikisha wanampinga Rais Magufuli kupitia mwamvuli wa wanachoamini ni udikteta.

Walijipanga kumpinga kupitia maandamano makubwa nchi nzima lakini ajabu yake hao hao walioanzisha harakati hiyo ndip hao hao waliyafuta maandamano. Jibi likawa rahisi kwa Watanzania walio wengi kuamini hayakuwa mapambano ya kupinga udikteta nchini ndio maana yaliweza kuyeyuka.

Kelele za maandamano zilikuwa kubwa mno kiasi wasiomtakia mema JPM, wasioitakia mema Tanzania wakajua wametunasa kwenye mtego wa machafuko, lakini liliyeyuka, likapita na kufutika kabisa.

3. KUSUSIA UCHAGUZI; Vyama vya upinzani viliamua kususia marudio ya chaguzi ndogo ili kupeleka salaam Dunia kuwa Tanzania hakuna Demokrasia, hakuna chaguzi huru na haki. Lengo kuu ni kumchafua Rais Magufuli na Serikali yake.

Ajabu yake, walisusa raundi moja, uchaguzi mwingine mdogo ulipoitishwa vyama vyote vya upinzani vile vile vilivyosusia uchaguzi wa awali walikimbilia fomu na hatimaye wakasimamisha wagombea pasipo madai yao ya msingi ya awali kutatuliwa, pasipo kufanyika kikao chochote kile cha kuonyesha walikutana na mamlaka na kuamua kwa pamoja kurudi kushiriki.

Kitendo cha wao kushiriki tena uchaguzi waliamua kusafisha anga kuwaadai ya Tanzania kukosa demokrasia, kutokuwa na chaguzi na tume huru hayakuwa ya kweli bali walikuwa na malengo NDANPyao machafu dhidi ya Rais Magufuli na Serikali yake.

4. MAANDAMANO YA 26/04/2018; Takribani mwaka mzima kulikuwa na uratibu wa kuandaa maandamano kwa ajili ya kumpinga Rais Magufuli na waratibu hao walifika mbali zaidi wakidai April 26 ni lazima Rais Magufuli atoke madarakani!

Uratibu huo ulikuwa ukifanyika kupitia mitandao ya kijamii na walihimiza Watanzania popote pale walipo Duniani wajitokeze hadharani kuandamana ili kumuondoa Rais Magufuli madarakani.

Siku ya siku ikafika, Watu waliondamana nje ya Tanzania hawakufika hata 15 na ndani ya nchi ya Tanzania hakuna hata mmoja aliyeandamana. Huu ni ushindi mwingine kwa Rais Magufuli, ni ushindi wa kishindo kwa Watanzania.

*Kwanini kila jambo la shinikizo linashindwa kufaulu?*

Tumeshuhudia kushindwa kwa Ukuta, kushindwa kwa maandamano ya April 26, tumeshuhudia kushindwa kwa kila aina ya mapandikizo ya chuki kwa Watanzania dhidi ya Rais Magufuli.

Sababu za kushindwa kufaulu ni kwa Watanzania:-

1. Kuridhishwa na utendaji wa Rais Magufuli

2. Kuridhishwa na kiwango cha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi unaofanywa na Serikali ya Rais Magufuli.

3. Kuridhishwa na kiwango cha kuheshimu na kulinda Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

4. Kuridhishwa na kiwango cha utawala bora.

5. Kuridhishwa na kiwango cha uhuru wa kidemokrasia.

6. Kuridhishwa na kiwango cha ulindwaji wa Haki za Binadamu

7. Kuridhishwa na kiwango cha hali ya ulinzi na usalama wa nchi.

8. Kuridhishwa na kiwango cha mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi nchini.

9. Kuridhishwa na kiwango cha ulinzi wa mali na rasilimali za Taifa.

10. Kuridhishwa na kiwango cha usimamizi wa mapato na matumizi hali iliyopelekea Serikali kupata hati safi kwa kiwango cha asilimia 90.

Hayo ni baadhi tu ya mambo yanayowafanya Watanzania kumuunga mkono na kuwa upande wa Rais Magufuli dhidi ya yale anayoyafanya.

Kwa kipindi kifupi kabisa Rais Magufuli amedhihirisha Uzalendo, Uchapakazi, Ushujaa na Ujenzi imara kwa Taifa. Hakika, Dk. Magufuli ni Rais bora wa kipindi chote.

Ndani ya kipindi kifupi Watanzania tunaona matunda ya Matokeo chanyA+ ya utendaji kazi uliotukuka wa Serikali ya Rais Magufuli.

*Mungu Ibariki Tanzania*
*Mungu Mbariki Rais Magufuli*

*Shilatu E.J*
Chaguo la Lubuva na team yake
 
kuna miungu mingi hata LUCIFER SHETANI NI MUNGU PIA anao wanaomuabudu,ila sio mungu JEHOVA anayesema usiue
Tumia vizuri hilo neno "MUNGU". Lucifer huwezi kumwekea herufi kubwa halafu JEHOVA ukamwekea herufi ndogo!
 
Back
Top Bottom