Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majina ya kisouth bwana! Linaandikwa Ramaphosa lakini linatamkwa RAMAPOOSA.Walimtaja kwenye wimbo, magufuli & Ramaphosa ingawa wakuu wa nchi wengi walikuwepo. Nimeiona hii clip star tv habari
Kwani kushangiliwa yeye ss inatuhusu nini? Ndo inapunguza au kuongeza nini kwako wewe kama wewe?We ndo lofa kweli! Yaani hadi leo hufahamu kwamba akiondoka ndipo akina nyie mtakavyojua huyu mnayemshangilia ni mtu wa aina gani kwa sababu hapatakuwa tena na mtu wa kuficha maovu aliyofanya! Mkapa wakati yupo madarakani alifikia hadi kujiita eti Mr. Clean! What happened baada ya kuwa ameondoka?!
Ndipo tukaja kufahamu mambo ya EPA!
Ndipo tukaja kufahamu mambo ya rada ambayo deal ilikamilika kwenye utawala wake!
Ndipo tukaja kufahamu issue ya IPTL ambayo kwa kiasi kikubwa ilivurundwa wakati wa utawala wake!
Ndipo tukaja kugundua amejiuzia mgodi wa makaa ya mawe kule Kiwira
Ndipo tukaja kufahamu wakati akiwa Ikulu alianzisha kampuni ya AnBen!
Hayo ni machache ya makando kando kadhaa ambayo Mkapa aliyafanya lakini kutokana na staili ya utawala wake; hayakujilikana! Sasa ngoja Magu aondoke madarakani uone hayo madudu! Sema ndo hivyo tena manake pamoja na madudu yote hayo ya Mkapa lakini kuna malofa utawasikia Mkapa was best president!!
Kama hujui inapunguza basi pole sana; tena sana na sidhani hata kama ukieleweshwa utaelewa manake huelekei kama ni mwenye kuelewa!Kwani kushangiliwa yeye ss inatuhusu nini? Ndo inapunguza au kuongeza nini kwako wewe kama wewe?
Rais MAGUFULI ameona umuhimu wa kuifufua njia za reli ambazo ziliachwa zijifie anafahamu na ameona umuhimu wa reli ktk maendeleo ya nchi yeyote duniani,Rais MAGUFULI anaweka umememe wa uhakika ktk kwa ajili ya maendeleo ya kweli,Rais MAGUFULI amenunua ndege ameifufua Atc iliyokuwa imejifia,kwa haya mambo matatu tunapotamka mageuzi ya kilimo na hata viwanda bila kuwa na haya mambo matatu kama msingi wa mageuzi itakuwa tunajidanganya kwa sababu tunahitaji umeme wa uhakika kwa ajili ya viwanda bila kujali ni viwanda vya kusindika mazao yatokayo mashambani ama kutengeneza bidhaa za kawaida,tunahitaji njia ya reli kwa urahisi wa kusafisha bidhaa za viwandani na hata mazao ya mashambani kutoka sehemu moja kwenda nyingine,hii njia ya reli ni rahisi kwa bei na hata ina uhakika kuliko barabara.tunapoongea utalii wa ndani na hata nje bila uhakika wa usafiri kwa njia ya anga tutakuwa tegemezi tusiokuwa na uhakika..hongera MAGUFULI,MUNGU akutunze.
Umesahau kumsifia pia kwa jinsi alivyoipaisha 1.5 trln toka hazina na jinsi anavyotoa 2.4trln hazina na kumzuia CAG kuyakagua matumizi yake.Rais MAGUFULI ameona umuhimu wa kuifufua njia za reli ambazo ziliachwa zijifie anafahamu na ameona umuhimu wa reli ktk maendeleo ya nchi yeyote duniani,Rais MAGUFULI anaweka umememe wa uhakika ktk kwa ajili ya maendeleo ya kweli,Rais MAGUFULI amenunua ndege ameifufua Atc iliyokuwa imejifia,kwa haya mambo matatu tunapotamka mageuzi ya kilimo na hata viwanda bila kuwa na haya mambo matatu kama msingi wa mageuzi itakuwa tunajidanganya kwa sababu tunahitaji umeme wa uhakika kwa ajili ya viwanda bila kujali ni viwanda vya kusindika mazao yatokayo mashambani ama kutengeneza bidhaa za kawaida,tunahitaji njia ya reli kwa urahisi wa kusafisha bidhaa za viwandani na hata mazao ya mashambani kutoka sehemu moja kwenda nyingine,hii njia ya reli ni rahisi kwa bei na hata ina uhakika kuliko barabara.tunapoongea utalii wa ndani na hata nje bila uhakika wa usafiri kwa njia ya anga tutakuwa tegemezi tusiokuwa na uhakika..hongera MAGUFULI,MUNGU akutunze.
Rais MAGUFULI ameona umuhimu wa kuifufua njia za reli ambazo ziliachwa zijifie anafahamu na ameona umuhimu wa reli ktk maendeleo ya nchi yeyote duniani,Rais MAGUFULI anaweka umememe wa uhakika ktk kwa ajili ya maendeleo ya kweli,Rais MAGUFULI amenunua ndege ameifufua Atc iliyokuwa imejifia,kwa haya mambo matatu tunapotamka mageuzi ya kilimo na hata viwanda bila kuwa na haya mambo matatu kama msingi wa mageuzi itakuwa tunajidanganya kwa sababu tunahitaji umeme wa uhakika kwa ajili ya viwanda bila kujali ni viwanda vya kusindika mazao yatokayo mashambani ama kutengeneza bidhaa za kawaida,tunahitaji njia ya reli kwa urahisi wa kusafisha bidhaa za viwandani na hata mazao ya mashambani kutoka sehemu moja kwenda nyingine,hii njia ya reli ni rahisi kwa bei na hata ina uhakika kuliko barabara.tunapoongea utalii wa ndani na hata nje bila uhakika wa usafiri kwa njia ya anga tutakuwa tegemezi tusiokuwa na uhakika..hongera MAGUFULI,MUNGU akutunze.
Safi sana....... Chadema tuko pamoja nao!Juzi niliona Member wetu mleta mada za jikoni akisema kwama umaarufu wa Magufuli umeisha duniani, hii hapa kwenye picha ni kundi la watu huko Namibia baada ya kumuona Magufuli anaanza safari za nje wameanza movement Magufulification of Naminia
View attachment 1109329
Mitaa imeshaanza kuwekwa Bendera na picha za Magufuli
View attachment 1109332