Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Yule mkuu wa wilaya mpya wa Kongwa ana Phd, na alikuwa analipwa laki tano kwa mwezi pale Lumumba. Sijajua wew wanakulipaje ndugu?
🤣 🤣 🤣 atakuwa anapita humo humo 5K kwa mwezi
 
Kuruhusu pale unapopenda na kukataza pale unapotaka ndio definition ya ku-dictate, yaani dictatorship.....
 
Moja ya madai makubwa ya upinzani ni kusema kuwa kuna kubinywa kwa Uhuru wa kujieleza na kukusanyika, Magufuli ameijibu Dunia Jana kwamba Tanzania wanaruhusiwa kufanya tu hata ujinga

Dunia imenyamazishwa kimya na Magufuli jana hawajui waanzie wapi maana mchezo hunoga pale mgogoro unapotengenezwa

Sasa iwe marufuku tena kwa mabeberu na makuwadi wao kumponda Rais Magufuli kuhusu Demokrasia amekuwa baba wa Demokrasia mjenga nchi mwanamapinduzi wa kiuchumi
Kwa hiyo unakubali kuwa rais ameminya demokrasia na sasa analazimika kujirekebisha kutokana na shinikizo la kimataifa?
 
Sema wewe ndio humtaki!
.
Sasa kutomtaka wewe haimanishi wanachi wote wa tz hawamtaki
Mkuu usijitoe ufahamu, unajua kabisa jiwe hapendwi na wengi, sio wote, ila wengi. hata yeye mwenyewe analijua hilo
 
Moja ya madai makubwa ya upinzani ni kusema kuwa kuna kubinywa kwa Uhuru wa kujieleza na kukusanyika, Magufuli ameijibu Dunia Jana kwamba Tanzania wanaruhusiwa kufanya tu hata ujinga

Dunia imenyamazishwa kimya na Magufuli jana hawajui waanzie wapi maana mchezo hunoga pale mgogoro unapotengenezwa

Sasa iwe marufuku tena kwa mabeberu na makuwadi wao kumponda Rais Magufuli kuhusu Demokrasia amekuwa baba wa Demokrasia mjenga nchi mwanamapinduzi wa kiuchumi
Umelewa wanzuki?
 
Kabla ya pyuu pyuu ni wachache sana walimfahamu Tundu Lissu duniani lakini J3 tulimuona kuanzia Al-Jazeera, BBC, VoA, Sauti ya Ujerumani. Kwakweli jina la Mungu lihimidiwe.
Nikajua wanamujua hadi huku nanjilinji? Kumbe kwa wafadhili,,basi swa.
 
Ni mapema mno kusema hivyo, labda ni sababu ya msiba wa mzee wetu Mkapa, tusubiri na tuone, tusije kuhukumu na sisi tukahukumiwa.

Kishajifunza kwamba tabia ya kupigana kwa vitendo sio sifa ya Watz, sifa yetu ni kupigana kwa hoja. Kupigana kwa vitendo ni sifa za majirani.
 
Hilo halina shaka kwani Rais Dr John Pombe Magufuli hutafuta sababu ya kumfanya afanye zaidi na kwa hakika Msiba huu wa Hayati Benjamin William Mkapa unampa Magufuli nguvu na ari ya aina yake ya kutekeleza.

Kila la kheri ....
Lala Salama BWM
 
Hii inatakiwa iwe kwenye damu!
Mzee hana kabisa busara na werevu huo
 
Back
Top Bottom