Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

Msingi wa uzi wako ni nini mkuu?
Au unaanzisha ligi na marehemu?
 
Hela ya escrow ipo wapi?
 
Aliyoyafanya JK na Aliyoyafanya JPM yote ni matokeo ya usimamizi bora na thabiti kabisa ilani mbili tofauti za chama pendwa chama bingwa kabisa barani afrika Chama Cha Mapinduzi CCM.
 
Sir Khan habar yako nakusalimu sana
 

lakini rushwa ilikithiri sana, mgao wa umeme ndo usipime but all in all alijitahidi pia kwa upande wake! huwezi sema hakuleta maendeleo
 
Aliyoyafanya JK na Aliyoyafanya JPM yote ni matokeo ya usimamizi bora na thabiti kabisa ilani mbili tofauti za chama pendwa chama bingwa kabisa barani afrika Chama Cha Mapinduzi CCM.

ccm hoyeee!
 
#10 ... Mradi wa Maji ya ziwa victoria ni Mradi wa Mkapa Lowassa akiwa waziri wa Maji akaufikisha Shinyanga JPM akaufikisha Tabora.

#17 ... kwani Dangote industry ni ya serikali?

#19... Jinyerezi II sio kazi ya JK

#22 ...hizi km 14k alizijenga wapi ilihali inchi ina km 12k tu barabara ya Lami?

#24...kuvuta umeme kwenda znz, b4 jk znz walikua wanapataje umeme?

#33..Demokrasia iliyotukuka ni kipindi gani mwandishi wa habari alipigwa bomu?Kubenea alimwagiwa tindikali au Yule kiongozi wa madaktari aling'olewa kucha au Mke wa Dr Slaa alicheze kichapo Arusha? Au mizengo pinda Alisema wapigwe tu?
 
Mwalimu Nyerere alisema Mtu akikuuliza swali la kijinga na wewe unajua la kijinga ukalijibu ana kudharau.
 
Itoshe tu kusema watanzania huw hawaaminiki leo mnajifanya mlimkubali jk wakati enzi zake mlimpiga madongo
 
wanainchi wamejibu nani Rais bora tumeona kwa Macho yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…