Mwl Mwakujonga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 384
- 758
Mafanikio yako hayategemei umezaliwa katika mazingira gani.
Leo nataka tupitie habari ya Isaya Yunge na Yeftha
Habari ya Yeftha tunaipata katika kitabu cha waamuzi mara baada ya Gidion na kizazi chake kuondoka tunakutana na habari hii
Yeftha historia yake hiko wazi alikuwa ni mtoto wa mama kahaba ingawa baba yake habari zake hazizungumzwi lakini habari ya mama yake imezungumzwa wazi kabsa
Baada ya baba yake kufariki Yeftha alifukuzwa na ndugu zake akaenda zake porin
Lakini Yeftha aliumbwa na ushujaa ndani yake , ile roho ya ushujaa aliyokuwa nayo Yeftha iliwavuta vijana waovu kwakwe
Yeftha ingekuwa leo tungesema alikuwa ni mtaalamu wa mambo ya kung fu , judo nk , ule uwezo wake ambao Mungu alimpa uliwavutia watu waovu yaani wezi nk walikwendwa kwakweli kwa ajili ya kujifunza mbinu za kivita.
Mungu ananjia zake , Mungu alikusudia Yeftha kuwa mfalme wa Israli japo kuwa hakutoka katika familia yenye historia njema
Kitendo cha ndugu zake kumkataa na kumtupa mtaani wakiamini hatafanikiwa hata rithi mali za baba yao na wakiamini kwamba Yetha amefikwa Mwisho lakini Mungu akukubariana na mawazo ya ndugu zake
Mungu akionyeshwa kwamba pamoja na kwamba Yeftha alikuwa ni mtoto wa kahaba lakini mbinguni alikuwa ni mfalme wa israeli ambaye atasimamia kusudi la Mungu
Miaka ikaenda miaka ikarudi wazee wa israeli wakakutana na shida ya vita na wakajua kwamba hakuna ambaye anaweza kusimama katika hiyo vita ila ni Yeftha
Wakamfata Yeftha wakamwomba Msamaha wakakubari hawe mfalme juu yao , na Mungu akamfanikisha katika vita na akawa mfalme juu ya Israeli
Inawezekana na wewe huna historia kama ya Yeftha inawezekana wazazi wako labda walikuacha ukiwa mdogo walikuacha yatima lakini hiyo hali haiwezi kuchukua kusudi la Mungu ndani yako
Haijarishi umezaliwa katika Mazingira gani? Hata kama haukusoma au umesoma una waza,i au hauna , mpango wa Mungu hauzuiriwi na hali yako ilivyo
Ndugu zake daudi familia ya Mzee Yese hawakumwalika Daudi katika kikao cha kumtafuta Mfalme katika familia yao wakimini kwamba kwanz ni kijana mdogo na hajui mambo ya vita , lakini Mungu hakuangaklia hayo
Laiti Mungu angeagalia kama wanadamu wengine tusingekuwa hapa. Lakini siku zote Mungu akiweka kusudi lake kwako haikika hatarikamilisha.
Yoshua alikuwa ni mbeba mizigo ya Musa, lakinu kule kubeba mizigo ya musa hakukuzui kusudi la Mungu ndani yake
Inawezekana walioakaribua na Yoshua walikuwa wanamcheka kwamba huyu kijana amebeba mizigo ya Musa kwa miaka 40 sasa lakini hawakujua kwamba ndiye mfalme wao ajae
Usidharau mwanzo mdogo kama uko kwenye ofisi ya watu fanya kwa uhaminifu hiko siku Mungu atafanya kwako
Isaya Yunge historia yake anasema halikuwa ni mtoto ambaye wazazi wake walitengana na kulelewa na mama wakambo
Anasema hata kusoma kwakwe kulikuwa ni changamoto kwa sababu alikuwa anachunga mifugo, lakini pia historia yake na shule alizosoma ni za kawaida sana wakazi wa mwanza wanajua Olenjolae ni shule ya kata na thaqhafa ni shule ya private ya kawaida tu na chuo kasoma IFM
Lakini yote hayo ilikuwa ni njia ya kufikia mafanikio yake , hakuwa na kianzio kama wengine ambao wamezaliwa katika familia za kitajiri lakini alikuwa na ndoto ya kitajiri ndani yake ambayo Mungu aliweka ndani yake
Leo hii ni miongoni mwa vijana ambao wanaangaliwa kwa jicho la karibu kwamba ni mabilionea wajao wa dollar
Historia yako histumike kukukwamisha bali itumike kuwa msingi wa mafanikio yako nakutakia siku njema