Mafanikio yako hayategemei umezaliwa katika mazingira gani.

Inategemea tunawaza kutokea wapi? Ila hesabu za kidua wengi waliofanikio hawakutoka katika maisha mazuri, twende kwenye michezo, nitakutajia wacheza ambao hawakuzaliwa katika mafanikio leo hii ni mabilionea

1. Christiano Ronaldo
2. Lion Messi
3. Michael Jordan
4.Michael Jackson
5. Bill Gate
6. Elon Musk
7. Dangote
8. Mark Zuckerberg

Kama reference yako unaangalia Tanzania unaweza kuwa sawa ila sio kwa ulimwengu huu tulioko
😂 Hivi familia walizotoka Bill Gates, Elon Musk, na Zuckerberg unazifahamu? Hao watu wazazi wao walikuwa vizuri tu na hiyo inamsaidia mtu kukua katika mazingira bora na kutambua fursa. Hapo Kuna ambao wazazi wao walikuwa madaktari tena mabinngwa, wengine wazazi wao walikuwa wanasheria... Kwaiyo wamekulia kwenye familia zenye exposure. Huwezi linganisha na mtu anakuta baba standard 4 mama standard 7... Very little exposure unapambana mwenyewe kuielewa dunia.

Ukija kwa hao wanamichezo Wana vipaji sawa lakini mazingira pia walipita academy bora zilizowaendeleza wakafikia hapo. Huwezi linganisha na mtu aliyetokea mtaani tu bila kipaji chake kukuzwa na watalaamu.
 
Mafanikio yako hayategemei umezaliwa katika mazingira gani.

Leo nataka tupitie habari ya Isaya Yunge na Yeftha

Habari ya Yeftha tunaipata katika kitabu cha waamuzi mara baada ya Gidion na kizazi chake kuondoka tunakutana na habari hii

Yeftha historia yake hiko wazi alikuwa ni mtoto wa mama kahaba ingawa baba yake habari zake hazizungumzwi lakini habari ya mama yake imezungumzwa wazi kabsa

Baada ya baba yake kufariki Yeftha alifukuzwa na ndugu zake akaenda zake porin

Lakini Yeftha aliumbwa na ushujaa ndani yake , ile roho ya ushujaa aliyokuwa nayo Yeftha iliwavuta vijana waovu kwakwe

Yeftha ingekuwa leo tungesema alikuwa ni mtaalamu wa mambo ya kung fu , judo nk , ule uwezo wake ambao Mungu alimpa uliwavutia watu waovu yaani wezi nk walikwendwa kwakweli kwa ajili ya kujifunza mbinu za kivita.

Mungu ananjia zake , Mungu alikusudia Yeftha kuwa mfalme wa Israli japo kuwa hakutoka katika familia yenye historia njema

Kitendo cha ndugu zake kumkataa na kumtupa mtaani wakiamini hatafanikiwa hata rithi mali za baba yao na wakiamini kwamba Yetha amefikwa Mwisho lakini Mungu akukubariana na mawazo ya ndugu zake

Mungu akionyeshwa kwamba pamoja na kwamba Yeftha alikuwa ni mtoto wa kahaba lakini mbinguni alikuwa ni mfalme wa israeli ambaye atasimamia kusudi la Mungu

Miaka ikaenda miaka ikarudi wazee wa israeli wakakutana na shida ya vita na wakajua kwamba hakuna ambaye anaweza kusimama katika hiyo vita ila ni Yeftha

Wakamfata Yeftha wakamwomba Msamaha wakakubari hawe mfalme juu yao , na Mungu akamfanikisha katika vita na akawa mfalme juu ya Israeli

Inawezekana na wewe huna historia kama ya Yeftha inawezekana wazazi wako labda walikuacha ukiwa mdogo walikuacha yatima lakini hiyo hali haiwezi kuchukua kusudi la Mungu ndani yako

Haijarishi umezaliwa katika Mazingira gani? Hata kama haukusoma au umesoma una waza,i au hauna , mpango wa Mungu hauzuiriwi na hali yako ilivyo

Ndugu zake daudi familia ya Mzee Yese hawakumwalika Daudi katika kikao cha kumtafuta Mfalme katika familia yao wakimini kwamba kwanz ni kijana mdogo na hajui mambo ya vita , lakini Mungu hakuangaklia hayo

Laiti Mungu angeagalia kama wanadamu wengine tusingekuwa hapa. Lakini siku zote Mungu akiweka kusudi lake kwako haikika hatarikamilisha.

Yoshua alikuwa ni mbeba mizigo ya Musa, lakinu kule kubeba mizigo ya musa hakukuzui kusudi la Mungu ndani yake

Inawezekana walioakaribua na Yoshua walikuwa wanamcheka kwamba huyu kijana amebeba mizigo ya Musa kwa miaka 40 sasa lakini hawakujua kwamba ndiye mfalme wao ajae

Usidharau mwanzo mdogo kama uko kwenye ofisi ya watu fanya kwa uhaminifu hiko siku Mungu atafanya kwako

Isaya Yunge historia yake anasema halikuwa ni mtoto ambaye wazazi wake walitengana na kulelewa na mama wakambo

Anasema hata kusoma kwakwe kulikuwa ni changamoto kwa sababu alikuwa anachunga mifugo, lakini pia historia yake na shule alizosoma ni za kawaida sana wakazi wa mwanza wanajua Olenjolae ni shule ya kata na thaqhafa ni shule ya private ya kawaida tu na chuo kasoma IFM

Lakini yote hayo ilikuwa ni njia ya kufikia mafanikio yake , hakuwa na kianzio kama wengine ambao wamezaliwa katika familia za kitajiri lakini alikuwa na ndoto ya kitajiri ndani yake ambayo Mungu aliweka ndani yake

Leo hii ni miongoni mwa vijana ambao wanaangaliwa kwa jicho la karibu kwamba ni mabilionea wajao wa dollar

Historia yako histumike kukukwamisha bali itumike kuwa msingi wa mafanikio yako nakutakia siku njema
Mazingira yako yana determine level yako ya mafanikio. Usitegemee uzaliwe na kukulia na kuishi Kigoma halafu uje kuwa Tajiri wa kwanza Afrika with zero exposure.
 
Inategemea tunawaza kutokea wapi? Ila hesabu za kidua wengi waliofanikio hawakutoka katika maisha mazuri, twende kwenye michezo, nitakutajia wacheza ambao hawakuzaliwa katika mafanikio leo hii ni mabilionea

1. Christiano Ronaldo
2. Lion Messi
3. Michael Jordan
4.Michael Jackson
5. Bill Gate
6. Elon Musk
7. Dangote
8. Mark Zuckerberg

Kama reference yako unaangalia Tanzania unaweza kuwa sawa ila sio kwa ulimwengu huu tulioko
Elon musk na dangote na bill gates waondoe kwenye hio list
 
Inategemea tunawaza kutokea wapi? Ila hesabu za kidua wengi waliofanikio hawakutoka katika maisha mazuri, twende kwenye michezo, nitakutajia wacheza ambao hawakuzaliwa katika mafanikio leo hii ni mabilionea

1. Christiano Ronaldo
2. Lion Messi
3. Michael Jordan
4.Michael Jackson
5. Bill Gate
6. Elon Musk
7. Dangote
8. Mark Zuckerberg

Kama reference yako unaangalia Tanzania unaweza kuwa sawa ila sio kwa ulimwengu huu tulioko
Aisee kuna watu toa kabisa hapo kwenye list.
 
Inategemea tunawaza kutokea wapi? Ila hesabu za kidua wengi waliofanikio hawakutoka katika maisha mazuri, twende kwenye michezo, nitakutajia wacheza ambao hawakuzaliwa katika mafanikio leo hii ni mabilionea

1. Christiano Ronaldo
2. Lion Messi
3. Michael Jordan
4.Michael Jackson
5. Bill Gate
6. Elon Musk
7. Dangote
8. Mark Zuckerberg

Kama reference yako unaangalia Tanzania unaweza kuwa sawa ila sio kwa ulimwengu huu tulioko
Hii dhana yako inaweza kufanya kazi kwenye michezo, na hata huko nako kunatakiwa kuwa na mifumo.

Ndiyo maana katika list yako hiyo hakuna Mtanzania.

Halafu kuanzia namba 5 hapo hakuna mtu aliyezaliwa sehemu yenye matatizo.

Bill Gates Mmarekani nchi aliyozaliwa tu ni deal. Pia wazazi wake walikuwa wanajiweza, ni watu professionals, middle class, si kajambanani hata huko Marekani.

Elon Musk mzungu wa South Africa baba yake alikuwa na migodi, kahamia Canada na US kirahisi kutokana na connections zake. Kufika huko ana white privilege kaweza kuungaunga mpaka kawa bilionea.

Dangote familia yao iko bizuri miaka mingi sana. Biashara kubwa hajaanza yeye walikuwa wanamiliki mpaka ndege kubwa hao usifikiri Dangote kaanza biashara yeye. Kakuta kwao kuna biashara kubwa tayari.

Mark Zuckerberg Myahudi wa Westchester aliyesoma Harvard. Hakutoka sehemu yenye njaa huyu.

Kifupi list yako yote hata hao wanamichezo wametoka nchi ambazo zimewapa advantage. Ndiyo maana list yako uote hakuna mtu aliyetokea Malawi hapo.
 
Mafanikio yako hayategemei umezaliwa katika mazingira gani.

Leo nataka tupitie habari ya Isaya Yunge na Yeftha

Habari ya Yeftha tunaipata katika kitabu cha waamuzi mara baada ya Gidion na kizazi chake kuondoka tunakutana na habari hii

Yeftha historia yake hiko wazi alikuwa ni mtoto wa mama kahaba ingawa baba yake habari zake hazizungumzwi lakini habari ya mama yake imezungumzwa wazi kabsa

Baada ya baba yake kufariki Yeftha alifukuzwa na ndugu zake akaenda zake porin

Lakini Yeftha aliumbwa na ushujaa ndani yake , ile roho ya ushujaa aliyokuwa nayo Yeftha iliwavuta vijana waovu kwakwe

Yeftha ingekuwa leo tungesema alikuwa ni mtaalamu wa mambo ya kung fu , judo nk , ule uwezo wake ambao Mungu alimpa uliwavutia watu waovu yaani wezi nk walikwendwa kwakweli kwa ajili ya kujifunza mbinu za kivita.

Mungu ananjia zake , Mungu alikusudia Yeftha kuwa mfalme wa Israli japo kuwa hakutoka katika familia yenye historia njema

Kitendo cha ndugu zake kumkataa na kumtupa mtaani wakiamini hatafanikiwa hata rithi mali za baba yao na wakiamini kwamba Yetha amefikwa Mwisho lakini Mungu akukubariana na mawazo ya ndugu zake

Mungu akionyeshwa kwamba pamoja na kwamba Yeftha alikuwa ni mtoto wa kahaba lakini mbinguni alikuwa ni mfalme wa israeli ambaye atasimamia kusudi la Mungu

Miaka ikaenda miaka ikarudi wazee wa israeli wakakutana na shida ya vita na wakajua kwamba hakuna ambaye anaweza kusimama katika hiyo vita ila ni Yeftha

Wakamfata Yeftha wakamwomba Msamaha wakakubari hawe mfalme juu yao , na Mungu akamfanikisha katika vita na akawa mfalme juu ya Israeli

Inawezekana na wewe huna historia kama ya Yeftha inawezekana wazazi wako labda walikuacha ukiwa mdogo walikuacha yatima lakini hiyo hali haiwezi kuchukua kusudi la Mungu ndani yako

Haijarishi umezaliwa katika Mazingira gani? Hata kama haukusoma au umesoma una waza,i au hauna , mpango wa Mungu hauzuiriwi na hali yako ilivyo

Ndugu zake daudi familia ya Mzee Yese hawakumwalika Daudi katika kikao cha kumtafuta Mfalme katika familia yao wakimini kwamba kwanz ni kijana mdogo na hajui mambo ya vita , lakini Mungu hakuangaklia hayo

Laiti Mungu angeagalia kama wanadamu wengine tusingekuwa hapa. Lakini siku zote Mungu akiweka kusudi lake kwako haikika hatarikamilisha.

Yoshua alikuwa ni mbeba mizigo ya Musa, lakinu kule kubeba mizigo ya musa hakukuzui kusudi la Mungu ndani yake

Inawezekana walioakaribua na Yoshua walikuwa wanamcheka kwamba huyu kijana amebeba mizigo ya Musa kwa miaka 40 sasa lakini hawakujua kwamba ndiye mfalme wao ajae

Usidharau mwanzo mdogo kama uko kwenye ofisi ya watu fanya kwa uhaminifu hiko siku Mungu atafanya kwako

Isaya Yunge historia yake anasema halikuwa ni mtoto ambaye wazazi wake walitengana na kulelewa na mama wakambo

Anasema hata kusoma kwakwe kulikuwa ni changamoto kwa sababu alikuwa anachunga mifugo, lakini pia historia yake na shule alizosoma ni za kawaida sana wakazi wa mwanza wanajua Olenjolae ni shule ya kata na thaqhafa ni shule ya private ya kawaida tu na chuo kasoma IFM

Lakini yote hayo ilikuwa ni njia ya kufikia mafanikio yake , hakuwa na kianzio kama wengine ambao wamezaliwa katika familia za kitajiri lakini alikuwa na ndoto ya kitajiri ndani yake ambayo Mungu aliweka ndani yake

Leo hii ni miongoni mwa vijana ambao wanaangaliwa kwa jicho la karibu kwamba ni mabilionea wajao wa dollar

Historia yako histumike kukukwamisha bali itumike kuwa msingi wa mafanikio yako nakutakia siku

Hapo mkuu, hatujaenda sawa kabisa. Hata mtu akisoma hii kauli bila kusoma story yote, bado si kweli kusema mafanikio ya mtu hayategemei mazingira aliyotokea.

Kwa uhalisia, mafanikio yanaathiriwa sana na mazingira unayotokea, ingawa mazingira hayaamui kabisa hatima au mwisho wako. Tukisema hivo ni sawa.

Mazingira yana nafasi kubwa sana katika maisha ya mtu. Mtu aliyepitia maisha magumu anaweza kuyageuza hayo magumu kuwa motivation ya kupambana zaidi. Vivyo hivyo, mtu aliyezaliwa na kukuta biashara kubwa ya familia, mali, elimu nzuri na mifumo imara tayari, mazingira yake yamemuweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufanikiwa.

Hata mtu anayekulia kwenye familia yenye mizizi mikubwa ya connections, ushawishi au nafasi za uongozi, mfano familia za kisiasa kama akina Kikwete na wengine anaweza kupata exposure na fursa ambazo mtu mwingine hana kabisa.

Mpaka tumeshaoba jinsi gani maisha yanategemea mazingira mtu uliyotoka, katika pande zote.

Kwa hiyo, lazima tukubari kwamba wote hatuanzii sehemu moja. Kuna watu wanaanzia kwenye mlima, wengine bondeni, na wengine tayari wako nusu ya safari.

Lakini jambo muhimu ni hili: mazingira yanaweza kukupa advantage au disadvantage, lakini tukubaliene kuwa hayaamui mwisho wa safari yako. Ndiyo maana mtu anaweza kutoka mazingira magumu na akafika mbali sana, na mwingine akazaliwa kwenye mazingira mazuri lakini akashindwa kuyatumia.

Kwa hiyo, mazingira yanaweza kuathiri sana ulipoanzia, fursa ulizokutana nazo na kasi yako ya kufika, lakini bado kuna sehemu ya safari ambayo iko mikononi mwako.
 
Hawa ni baadhi ya matajiri wakubwa duniani na historia ya familia zao kabla hawajafikia mafanikio:

1. Elon Musk – Familia yenye elimu, lakini si familia ya mabilionea​

  • Alizaliwa mwaka 1971 Pretoria, Afrika Kusini.
  • Baba yake, Errol Musk, alikuwa mhandisi na alikuwa na biashara mbalimbali; mama yake, Maye Musk, alikuwa mwanamitindo na mtaalamu wa lishe.
  • Familia yake haikuwa maskini kama baadhi ya wajasiriamali wengine, lakini pia hawakuwa matajiri wa kiwango cha mabilionea.
  • Elon akiwa mtoto alikuwa na shauku kubwa ya kusoma sayansi na kompyuta.
  • Akiwa kijana alijifunza kutengeneza programu na baadaye akaanzisha kampuni kama SpaceX na kuwa kiongozi wa Tesla.

Somo: Alianza na mazingira yaliyompa elimu, lakini mafanikio yake makubwa yalitokana na ubunifu, hatari alizochukua na kufanya kazi kwa muda mrefu.

2. Aliko Dangote – Kutoka familia tajiri ya biashara hadi kujenga himaya yake​

  • Alizaliwa mwaka 1957 Nigeria.
  • Tofauti na baadhi ya watu waliotajwa hapa, Dangote hakutoka familia maskini.
  • Alitoka familia ya wafanyabiashara Waislamu wa kaskazini mwa Nigeria.
  • Babu yake alikuwa mfanyabiashara mkubwa, na familia yake ilikuwa na uwezo wa kifedha.
  • Akiwa kijana alipata msaada wa kuanza biashara, lakini alijenga mwenyewe kampuni ya Dangote Group kuwa moja ya makampuni makubwa Afrika.

Somo: Kuwa na mwanzo mzuri hakutoshi; uwezo wa kupanua na kusimamia biashara ndio uliomfanya awe tajiri mkubwa.

3. Bill Gates – Familia ya wasomi na yenye uwezo wa kawaida​

  • Alizaliwa mwaka 1955 Marekani.
  • Baba yake, William H. Gates Sr., alikuwa wakili maarufu.
  • Mama yake, Mary Maxwell Gates, alikuwa kiongozi katika mashirika na bodi mbalimbali.
  • Familia yake haikuwa maskini; walikuwa na uwezo wa kumpeleka shule nzuri.
  • Akiwa kijana alipata nafasi ya kutumia kompyuta mapema sana.
  • Alianzisha Microsoft akiwa na Paul Allen na kubadilisha dunia ya teknolojia.

Somo: Mazingira mazuri yanaweza kusaidia, lakini lazima mtu atumie fursa kwa ubunifu na juhudi.

4. Mark Zuckerberg – Familia ya elimu na taaluma​

  • Alizaliwa mwaka 1984 Marekani.
  • Baba yake, Edward Zuckerberg, alikuwa daktari wa meno.
  • Mama yake, Karen Kempner, alikuwa daktari wa magonjwa ya akili.
  • Alikulia kwenye familia ya wasomi yenye maisha mazuri.
  • Akiwa mtoto alipendezwa sana na programu za kompyuta.
  • Akiwa chuo kikuu cha Harvard alianzisha Facebook, ambayo baadaye ikawa sehemu ya kampuni ya Meta Platforms.

Somo: Mark hakutoka kwenye umaskini, lakini alitumia kipaji chake cha teknolojia na kuona fursa mapema.

Tofauti muhimu:​

  • Elon Musk: familia yenye elimu na uwezo, lakini alijijenga kupitia ubunifu mkubwa na hatari.
  • Dangote: alitoka familia yenye biashara, lakini alipanua zaidi ya alichorithi.
  • Bill Gates: alitoka familia ya wasomi yenye fursa nzuri.
  • Mark Zuckerberg: alitoka familia ya wataalamu na alipata mazingira mazuri ya kujifunza.

Jambo linalofanana kwao wote ni kwamba walitumia ujuzi, muda, maono na ubunifu kubadilisha fursa walizokuwa nazo kuwa mafanikio makubwa.
 
Hawa ni baadhi ya matajiri wakubwa duniani waliotoka kwenye mazingira magumu au familia zisizo na utajiri mkubwa, wakajijenga kupitia elimu, uvumilivu, ubunifu na biashara. (Kumbuka: si wote walikuwa maskini kabisa; baadhi walitoka familia za kawaida zenye changamoto.)

1. Oprah Winfrey – Kutoka maisha magumu hadi bilionea wa vyombo vya habari​

  • Alizaliwa mwaka 1954 Mississippi, Marekani.
  • Alikulia kwenye umaskini mkubwa, akiwa na maisha magumu ya utotoni.
  • Alipitia changamoto nyingi kabla ya kuanza kazi ya utangazaji.
  • Kipaji chake cha kuzungumza na kuelewa watu kilimsaidia kuwa mtangazaji maarufu.
  • Aliunda himaya yake kupitia kipindi chake cha televisheni na kampuni zake za media.
  • Leo anatambulika kama mmoja wa wanawake matajiri na wenye ushawishi mkubwa duniani.

2. Starbucks mwanzilishi Howard Schultz – Kutoka familia ya kawaida hadi kujenga Starbucks​

  • Alikulia Brooklyn, Marekani, kwenye familia ya kipato cha chini.
  • Baba yake alifanya kazi za kawaida na familia ilikabiliwa na matatizo ya kifedha.
  • Alipata nafasi ya kusoma kwa msaada wa masomo.
  • Baada ya kuona uwezo wa biashara ya kahawa, alipanua Starbucks kutoka duka dogo hadi kampuni ya kimataifa.

3. Jan Koum – Mtoto wa wahamiaji aliyekuwa maskini hadi bilionea​

  • Alizaliwa Ukraine na kuhamia Marekani akiwa kijana.
  • Familia yake ilikuwa na maisha magumu; wakati mwingine walitegemea msaada wa serikali.
  • Alijifunza programu za kompyuta mwenyewe.
  • Alianzisha WhatsApp mwaka 2009.
  • Baadaye WhatsApp ilinunuliwa na Meta Platforms kwa mabilioni ya dola.

4. Jack Ma – Kutoka mwalimu wa Kiingereza hadi tajiri mkubwa​

  • Alizaliwa China katika familia ya kawaida.
  • Alifeli mitihani kadhaa na alikataliwa kwenye kazi nyingi.
  • Alijifunza Kiingereza kwa kuzungumza na wageni bila malipo.
  • Alianzisha Alibaba Group mwaka 1999.
  • Kampuni yake ikawa moja ya biashara kubwa zaidi za mtandao duniani.

5. Larry Ellison – Mtoto aliyekulia bila wazazi wake wa karibu hadi bilionea​

  • Alilelewa na shangazi na mjomba baada ya mama yake kushindwa kumlea.
  • Aliacha chuo kabla ya kumaliza.
  • Alijifunza teknolojia na programu mwenyewe.
  • Alianzisha Oracle Corporation na kujenga utajiri mkubwa kupitia teknolojia.

6. Amancio Ortega – Kutoka familia maskini hadi tajiri wa mitindo​

  • Alizaliwa Hispania kwenye familia ya mfanyakazi wa reli.
  • Familia yake ilikumbwa na changamoto za kifedha.
  • Alianza kufanya kazi akiwa kijana mdogo kwenye duka la nguo.
  • Baadaye alianzisha Zara na kampuni ya Inditex.

7. Li Ka-shing – Kutoka ukimbizi na umaskini hadi tajiri wa Asia​

  • Alikulia China katika kipindi cha vita.
  • Alikimbilia Hong Kong na familia yake.
  • Alilazimika kuacha shule na kufanya kazi akiwa mdogo.
  • Alijenga biashara katika plastiki, mali isiyohamishika na uwekezaji.

8. Ralph Lauren – Kutoka mtoto wa familia ya wahamiaji hadi chapa ya dunia​

  • Alikulia Bronx, New York, kwenye familia ya kawaida.
  • Hakuzaliwa kwenye utajiri.
  • Alianza kwa kuuza tai alizobuni mwenyewe.
  • Alianzisha chapa ya Ralph Lauren ambayo ikawa maarufu duniani.

9. Dhirubhai Ambani – Kutoka kuuza bidhaa ndogo hadi kujenga himaya ya biashara​

  • Alitoka familia ya kawaida India.
  • Alianza kufanya kazi za kawaida akiwa kijana.
  • Alianza biashara ndogo ya kuuza bidhaa.
  • Alijenga Reliance Industries kuwa moja ya kampuni kubwa India.

10. Ingvar Kamprad – Kutoka kijijini hadi tajiri wa samani​

  • Alizaliwa Sweden kwenye familia ya kawaida ya wakulima.
  • Alianza kuuza vitu vidogo akiwa mtoto.
  • Akiwa kijana alianzisha IKEA.
  • Alibadilisha biashara ya samani duniani kwa kuuza bidhaa zenye bei nafuu.

Mafunzo makubwa kutoka kwao:​

  1. Mwanzo mdogo hauamui mwisho wako.
  2. Ujuzi ni mtaji mkubwa kuliko pesa pekee.
  3. Kukataa kushindwa ni sifa inayojirudia kwa matajiri wengi.
  4. Biashara nyingi kubwa zilianza kama wazo dogo.
  5. Kujifunza kila siku ni tabia ya watu waliofanikiwa.

Watu hawa hawakuwa na mwanzo rahisi, lakini walitumia changamoto zao kama nguvu ya kujijenga.
 
Ninacho amini na nachojua unachoamini ndicho kiwango cha maisha yako ukiona maisha yako amefungwa na historia yako ni sawa kabsa na inakuwa kama unavyo aminj lakini ukiamini kwamba lolote linawezekana chini ya jua na inakuwa kama unvyo amini
 
Inategemea tunawaza kutokea wapi? Ila hesabu za kidua wengi waliofanikio hawakutoka katika maisha mazuri, twende kwenye michezo, nitakutajia wacheza ambao hawakuzaliwa katika mafanikio leo hii ni mabilionea

1. Christiano Ronaldo
2. Lion Messi
3. Michael Jordan
4.Michael Jackson
5. Bill Gate
6. Elon Musk
7. Dangote
8. Mark Zuckerberg

Kama reference yako unaangalia Tanzania unaweza kuwa sawa ila sio kwa ulimwengu huu tulioko

Dangote alitokea familia ya kitajiri. Baba yake tajiri, babu yake ni tajiri, ukoo wa mama yake ni matajiri na mtaji wa kwanza Dangote alipewa na babu yake. Babu yake mama yake Dangote alikuwa tajiri namba moja Afrika Magharibi, sio Nigeria peke yake miaka ile kabla Tanganyika hatujapata uhuru. Dangote anaanza biashara anakuta ukoo wa Dantata upande wa mama yake una matajiri kibao na una historia ya kufanya biashara vizuri zaidi ya miaka 100 nyuma. Na huo ukoo haukumuozesha binti yao (mama Dangote) kwa mbumbumbu asiye na future, baba mwenyewe ukoo wake unajimudu.

Lionel Messi ni athlete. Kuwa mchezaji huwezi rithisha wala kurithishwa. Hicho ni kipaji, yeyote anakuwa nacho. Ndio maana kati ya wasanii/wanamichezo wanne uliotaja hakuna hata mmoja ambaye mwanae anafanya alivyofanya/anavyofanya baba yake.

Sio kwamba ukiwa maskini na ukaamua kukimbia basi unakuwa Usain Bolt automatically.

Bill Gates baba yake mwanasheria. Mama yake alikuwa mtu wa maana aliwahi kuwa kwenye bodi ya kampuni ya teknolojia ya IBM kwahiyo alikuwa anajua tech ni nini na alihusika kushawishi njia za Bill.
Wazazi walimpa elimu nzuri na shule ya ada kubwa mno aendeleze kipaji.

Elon Musk baba yake engineer, tena rubani vilevile alikuwa na ndege binafsi ambayo Elon alikuwa anapanda wanazurula sehemu nyingi na anapata exposure. Baba yake ndio alinunua hizo kompyuta za mwanzo na Elon akazaliwa kwenye tech. Pia hizo rubi za Zambia baba yake Elon amechimba. Hakuwa muokota makopo.

Mark Zuck baba yake alikuwa daktari wa meno. Mark alitumia kompyuta za ofisi ya baba yake kujifunzia, baadae wakaona ana akili sana wakajichanga kumpeleka shule ya bei ghali sana. Na nyumbani waliajiri mwalimu wa tuition amfundishe computer programming.

Hao hata IQ wamerithi kwa wazazi, huwezi zaliwa na maboya tu vilaza ukaishi uswekeni kisha ukawa na akili ya kuwaza future itabeba nini na tech inataka nini.
 
Inategemea tunawaza kutokea wapi? Ila hesabu za kidua wengi waliofanikio hawakutoka katika maisha mazuri, twende kwenye michezo, nitakutajia wacheza ambao hawakuzaliwa katika mafanikio leo hii ni mabilionea

1. Christiano Ronaldo
2. Lion Messi
3. Michael Jordan
4.Michael Jackson
5. Bill Gate
6. Elon Musk
7. Dangote
8. Mark Zuckerberg

Kama reference yako unaangalia Tanzania unaweza kuwa sawa ila sio kwa ulimwengu huu tulioko
Bill gates, elon musk, michael jordan, dangote, mark zuckerberg hao wametoka kwenye familia za mboga saba. Hawajui shida hao

Michael jackson, messi na ronaldo wametoka kwenye familia zisizo na uwezo lakini wamepata mfanikio kutokana na mifumo imara ambayo tayari wameikuta kwahiyo mazingira yamechangia.

Mazingira yanasaidia kwa kiasi kikubwa sana mtu kufanikiwa au kufikia potential yako. Future ya mtoto anaezaliwa marekani hauwezi kufananisha na future ya mtoto anaezaliwa Tanzania.
 
Zaliwa kwenye familia ambayo wewe ni wa kwanza halafu ukute wazazi hamna kitu wewe ndo uwe tegemeo la familia halafu uniambie kama utafanikiwa labda itokee bahati kama huyo yunge wenu
Umenichekesha sio poa mkuu
 
Umenichekesha sio poa mkuu
hapo mkuu kufanikiwa itakuwa ndoto maana utakuwa tegemezi wa kuilea familia uwezo wa kujinjenga kiuchumi utaukosa kutokana na kuhudumia familia utajikuta unazeeka hata cha maana hujakifanya

ukikulia kwenye familia angalau kidogo inauwezo itakupunguzia majukumu maana unachokipata kitakuwa kwenye bajet yako pekee siyo na familia
 
We Acha tu mkuu maana sasa hata kuelezea inashindikana
 
Back
Top Bottom