Mafanikio yako hayategemei umezaliwa katika mazingira gani.

Mafanikio yako hayategemei umezaliwa katika mazingira gani.

Kama umasikini ungekua ni kitu cha kuonekana basi adhabu ya ilikua kuchomwa moto tu
fact maana ukiangalia unaweza ukawa unahangaika na shida ya kiasi flani cha pesa huku jirani ana mwagilia moyo bar
 
Sijui sisi hatuna bahati kama Yunge
Mungu humpa mtu ambacho kipo ndani ya malengo yake haita tokea tu kitu hata ulikuwa hukifikiliagi kikaja maishani mwako ni mala chache sana

Mungu atatufanyia wepesi kilichopo ndani ya nafsi zetu
Na huyo yunge haijatokea kwa bahati inawezekana alijiwekea lengo ndani ya miaka kadhaa nyuma na mungu amebless limetimia
 
Back
Top Bottom