Mungu humpa mtu ambacho kipo ndani ya malengo yake haita tokea tu kitu hata ulikuwa hukifikiliagi kikaja maishani mwako ni mala chache sana
Mungu atatufanyia wepesi kilichopo ndani ya nafsi zetu
Na huyo yunge haijatokea kwa bahati inawezekana alijiwekea lengo ndani ya miaka kadhaa nyuma na mungu amebless limetimia