fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Takbiiir tuvumiliane tu Sheikh wagalatia nao wakinyanyuka kuwa wanakereka na zile zile kelele za Masjidi itakua aibu kubwa Sheikh.Wagwaniiii
ebhana serikali mbna inafumbia macho hawa jamaa wa ubaloz wa marekani leo ni siku ya 4 mfululizo wanapiga mabomu sjui mafataki mda mwngne milio kama ya bunduki
hii ni kero kwa wananchi bhna kuna wagonjwa bhna mitaani huku mnazngua aisee
Safari hii imezidi ni too much kila sikuMkuu miaka yote tumeishi nao hao jamaa kwa mtindo huo huo.. iweje Leo uone kero!!!
Hahahaah sheikh hi ni noma maalimTakbiiir tuvumiliane tu Sheikh wagalatia nao wakinyanyuka kuwa wanakereka na zile zile kelele za Masjidi itakua aibu kubwa Sheikh.
Aaaah wanakeraaaaaahKaa kimya mabeberu wana celebrate mambo zao!
Aaaaah kumbeeDonor kantreeeeeee hao.
Ubalozi ni nchi nyingine kabisaaa bwasheee .....Wagwaniiii
ebhana serikali mbna inafumbia macho hawa jamaa wa ubaloz wa marekani leo ni siku ya 4 mfululizo wanapiga mabomu sjui mafataki mda mwngne milio kama ya bunduki
hii ni kero kwa wananchi bhna kuna wagonjwa bhna mitaani huku mnazngua aisee
Sasa hapo bado xmass na new year Mkuu.Safari hii imezidi ni too much kila siku
Ila we jamaa mchokoz😂Donor kantreeeeeee hao.
Pale hatii mguu mtu bila ruhusa yao, ile ni nchi ndan ya nchiNgoja tumwambie afande Ziro atume vijana wake
Ilibd watoe matangazo kuzunguka maeneo ya jiran kutaarfu ujio wa hzo kelele labda week 1/2 kabla Lkn mnaweza peleka 'maombi' kuwaomba wapunguze/wasitishe hzo shughuli(japo ni vgumu)Ubalozi ni nchi nyingine kabisaaa bwasheee .....
Majirani wa hapo...Regency,Migombani Street,bonde la mpunga wajue/watambue kuwa wanaishi mpakani....jirani zao hao ni nchi nyingine....daah sasa sijui wagonjwa watalielewa hilo ?!!
Ndio hivyo mkuu.....
Mkuu kwani kule upande wa Rwanda karibu na mpaka wetu wakipiga fataki huwa wanatuambia?!!! 🤣Ilibd watoe matangazo kuzunguka maeneo ya jiran kutaarfu ujio wa hzo kelele labda week 1/2 kabla Lkn mnaweza peleka 'taarifa' kuwaomba wapunguze/wasitishe hzo shughuli(japo ni vgumu)
Khaaaa 😳😳😳😳😳😳🤣🤣Ngoja tumwambie afande Ziro atume vijana wake
Wanatumiana ujumbe boss wangu, kuptia wizara za Mambo ya nje(diplomatic channels)Mkuu kwani kule upande wa Rwanda karibu na mpaka wetu wakipiga fataki huwa wanatuambia?!!! 🤣
Hapo "Drive Inn" kukaa nao jirani hakuondoi kuwa pale ni nchi baki.....ndio hivyo mkuu wangu.....
🤣Haya mkuu wangu nisalimie Migombani street hapo.....Wanatumiana ujumbe boss wangu, kuptia wizara za Mambo ya nje(diplomatic channels)