Mafataki yanayopigwa kila siku na Ubalozi wa Marekani ni kero

Mafataki yanayopigwa kila siku na Ubalozi wa Marekani ni kero

Mabeberu Hayatupendi Sasa Hivi Yanatukera
 
Nenda ubalozi, katoe malalamiko yako ukifikia muulizie Sargent Tyrone tailor !
Mwambie umeelekezwa na na mimi!
Hakikisha una credentials muhimu
 
Ubalozi ni nchi nyingine kabisaaa bwasheee .....

Majirani wa hapo...Regency,Migombani Street,bonde la mpunga wajue/watambue kuwa wanaishi mpakani....jirani zao hao ni nchi nyingine....daah sasa sijui wagonjwa watalielewa hilo ?!!

Ndio hivyo mkuu.....
Ni sawa sawa na wakazi wa Pugu Kinyamwezi kunako dampo la Jiji.
 
Wagwaniiii

Ebhana serikali mbona inafumbia macho hawa jamaa wa ubalozi wa Marekani leo ni siku ya 4 mfululizo wanapiga mabomu sjui mafataki mda mwingne milio kama ya bunduki.

Hii ni kero kwa wananchi bhana kuna wagonjwa bhana mitaani huku mnazingua aisee.
Wanafukuza wamachinga, mbu na nzi.
 
Hapo wapo nchini Marekani na wanaendeshwa na sheria za Marekani, hakuna wa kuwaingilia!
 
Nawe waambie wale walioko marekani wapige pembe za ng'ombe iwe sawa.
 
Kwa hiyo wanajikuta wao nani hadi wafyatue mafataki ndani ya nchi ya watu.....
 
Back
Top Bottom