SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Huo ni mpanga kazi wa kuwakera ili muhame hapo. Msipohama kwa hiari wanakuja kuwanunua. Mkiziona dolari zao na mkikumbuka adha za kelele zao, mtafungasha virago tu.
Kiusalama, Wamarekani wanapendaga wawe na wigo mpana wa ulinzi. Inawezekana wanataka kuongeza hilo wigo pale kwao.
Kiusalama, Wamarekani wanapendaga wawe na wigo mpana wa ulinzi. Inawezekana wanataka kuongeza hilo wigo pale kwao.