Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 1,412
- 1,669
Mbona madude ya ajabu hivi?View attachment 2549206
👆Bunju anakuwa kama chura fulani na ana miba kibao
View attachment 2549203
👆mkunga kama nyoka wapo wanatishia kinoma Kuna wengine ni jamii ya nyoka wa bahari ukileta Tamaa ukafiria mkunga ukamla ndo kwisha habari yako...Kuna wavuvi wanagonjwa na wale nyoka bahari wakifiria ni mkunga
Mweeeh!!!