Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
hapa sasa tunaongea lugha mojaYees hao watamu papa na nguru tena nguru wa kuchoma unaweza ukamla na ugali Safi kabisa hana shida,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa sasa tunaongea lugha mojaYees hao watamu papa na nguru tena nguru wa kuchoma unaweza ukamla na ugali Safi kabisa hana shida,
Wasingeweza .Panya Masasi niliona jamaa wanabugia tuu.Eti toeni huo uchafu[emoji3][emoji3][emoji3] Ungekula panyaa mkuu
Hivi Zanzibar ina visiwa vingapi maana nilikua nafikir ni unguja na pemba.
Hiyo mafia ipo wapi??
Yaan🙄Yaani mtu unakulaje kasa sijui pweza
Huyu hapa KAMONGOAisee sijui ndo jina halisi hilo kamonga maana Kuna watu kibao nawajua wanaitwa hivyo makonga
Huyu kiumbe pia analindwa sana maana yupo kwenye hatari ya kutoweka...kumvua ni makosa labda ule mzoga.Wabongo sasa tumeshakuwa kama wachina maana hata visivyolika tunataka tule yaani kila kitu tunataka tujaribu.
Kesi za huyu kiumbe zipo sana kwamba ana sumu hafai kula lakini watu hawasikii.
Ulikula kichwa au tumbo au kiwiliwili?BINAFSI NIMEMLA BADO NIPO KWENYE UANGALIZI WA MADOCTA BADO SIO SAWA NATAPIKA NDIO MAANA NILIANDIKA KWA UFUPI TUOMBEANE
Lakini hao viumbe si inajulikana kwamba wamewekewa sumu ili kuwalinda wasitoweke sa inakuwaje watu wanawafakamia tu?Ila kasa mtamu sana, nahisi wavuvi Huwa wanapata mtihani wa nafsi wakimvua, unawaza nimle...nisimle.
Mungu awalaze pema waliotangulia.....waliobaki wapate afya.
Yees upo sahihi wamebakia wachacheHuyu kiumbe pia analindwa sana maana yupo kwenye hatari ya kutoweka...kumvua ni makosa labda ule mzoga.
Jamanii huyu si nyoka 😬
Mbn kama farasiJamanii huyu si nyoka 😬
Samaki huyo hujasikia jamaa anasema mtamu walikua wanapelekewa mkia tu bila kichwa akawa anafurahia utamu wa SamakiJamanii huyu si nyoka 😬
Wamewekewa sumu liniLakini hao viumbe si inajulikana kwamba wamewekewa sumu ili kuwalinda wasitoweke sa inakuwaje watu wanawafakamia tu?
Anataka kufanana na Chatu mkuuMbn kama farasi
Samaki mtamu chini ya maji ni kibuaaa wengine tupa kule .Samaki huyo hujasikia jamaa anasema mtamu walikua wanapelekewa mkia tu bila kichwa akawa anafurahia utamu wa Samaki
Kuna wale kono kono wa baharini wanaovuliwa huko Mafia na Lindi ushawahi kuwala?Samaki mtamu chini ya maji ni kibuaaa wengine tupa kule .
Binadamu tunatofautiana Sana,nlishaenda Nachingwea yaani kuna Watanzania wenzetu wanakula vyura, just imagine [emoji196][emoji196]Ni Kobe wa baharini , anaitwa sea turtle