Mafia: Watu 7 wafariki dunia baada ya kula nyama ya Kasa

Mafia: Watu 7 wafariki dunia baada ya kula nyama ya Kasa

Watu wa baharini huko wana makankasha mi ntalala njaa kila siku.Nilienda Mtwara nikakuta wanauza tududu wamechomeka kwenye mijiti wanatutia kwenye pilipili wanabugia kama hawana akili.Walivyosegeza tu niliwaambia siwezi toeni huo uchafu.
 
Bunju ni mtamu sana
Anatisha lakini na ana sumu pia ukimla akiwa ameandaliwa vibaya bila kutoa kifuko cha sumu jiandae na wewe kufariki dunia
Screenshot_20230313-204521.png
 
Ila kasa mtamu sana, nahisi wavuvi Huwa wanapata mtihani wa nafsi wakimvua, unawaza nimle...nisimle.

Mungu awalaze pema waliotangulia.....waliobaki wapate afya.

Namna ya kumtengeneza wengi hawajui
 
Anatisha lakini na ana sumu pia ukimla akiwa ameandaliwa vibaya bila kutoa kifuko cha sumu jiandae na wewe kufariki duniaView attachment 2549489
Hichi kidubwana mara ya mwisho nilikiona kwenye series ya Merlin

Director wa Merlin alijua kupitia hiki kidude anaweza akawastua (scary) audience lakini kwa watu wa Mafia hali ni tofauti, watu walikuwa wanakiangalia kama mboga
 
kwa mara ya kwanza nakula mkunga nilikua zanzibar tena akiwa mbichi nikaitwa njoo uone naenda nakuta amejaa kwenye dish nikapiga kelele huyu si chatu naambiwa ni samaki analiwa wakamkaanga nikaambiwa nionje nikala tangu hapo nimekua mlafi kweli lakini usinipe nimuandae wewe muandae mie nije kula tu


kuna sehemu pia nilienda hii kwa tanga ndio nakuta wanawachuna hao mabunju lakini huyo sjabahatika kumla na sitaki kabisa mana tayar ninastory za kutosha kumhusu hata kipindi niko zenji walimvua kasa wakaniuliza unakula kasa nikawaambia hapana yule ni kama kobe waligawana mtaa mzima sikula huyo bunju watu wanamla sana bila kuogopa

kuliko kula bunju heri nile mirindi na tondo
😂😂😂Mi samaki wengine bhana yaani ile shape tu unaweza umsile.

Kuna samaki anaitwa sijui ndo kamongo tulikuwa tunakula sana Kuna mzee anatuletea maana ni mvuvi ila kila siku analeta mkia yaani ni mkubwa ..Yeye anauza kweny mahoteli makubwa basi bhana siku moja alikuja kutuambia "Huyu samaki ukija kumuona kichwa chake unaweza usimle".

Basi bhana Kuna siku alikuja usiku na kichwa cha huyo samaki maana wanakitumia kama kweny mambo ya ushirikina ili wavue Zaid samaki wengine ....Aisee sijui ndo jina halisi hilo kamonga maana Kuna watu kibao nawajua wanaitwa hivyo makonga.

Yule samaki ana kichwa kama cha ng'ombe na meno kama ya mtu 😟yaani ana mapembe hayo meno kama mtu niligopa sana ...Akatumbia huyu Bei yake ni ghali sana ..

Maana Kuna Yale majongoo ya baharini alikuwa anasafirisha kwenda Zanzibar pamoja huyo samaki eti watalii ndo wanakula.
 
Back
Top Bottom