Mafia: Watu 7 wafariki dunia baada ya kula nyama ya Kasa

Mafia: Watu 7 wafariki dunia baada ya kula nyama ya Kasa

kuna mtu aliwahi kuniambia kumvua huyo aataka timing, ukikosea ana vimeno vya mbele juu nachini akikuuma anahakikisha hayo meno yamekutana, wavuvi wana moyo mgumu sana kwanza acheze na bahari pili viumbe vya ajabu hapana kwa kweli
Hatari sana bahari Ina mengi ya kujifunza,
 
Aah sidhani km ntamuweza Mimi, ngisi tu ananishinda ntamweza mkunga
ngisi?? unanitia aibu, ngisi ni kama pweza tofauti yao pweza mwili mzim ni mikia ngisi ni hapo kichwani ndio vikia, huyo umchemshe na maembe mabichi au malimao, ananikeraga ukimkaaga anavyorusha mafuta lakini ana style yake ya kumkaaga hayaruki hata kamba unakula??
 
Poleni sana, Mimi nilikuwa kisiwa Cha UKUZA wiki iliyopita walivuliwa kasa wawili.
Mmoja akavhinjwa asubuhi, mmoja akaachwa mpaka kesho yake. Watu wanagombania nyama tena Jamaa aliyevua anawauzia watu wanagombania kununua dah!
Kuna nyingine ilipikwa supu sijaisogelea aisee!
 
ngisi?? unanitia aibu, ngisi ni kama pweza tofauti yao pweza mwili mzim ni mikia ngisi ni hapo kichwani ndio vikia, huyo umchemshe na maembe mabichi au malimao, ananikeraga ukimkaaga anavyorusha mafuta lakini ana style yake ya kumkaaga hayaruki hata kamba unakula??
Kamba nakula hata uduvi nakula Ila Ngisi nmeshindwa,
 
Back
Top Bottom