Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Yeap kuna jamii hata wavuvi wanajua vizuri na wanauza wale wasio na sumuplease come again hapo kwenye mkunga, mtaam mimi huyo nimemla sana tu sjadhurika labda nimekula asie na sum hao bunju na kasa sijawah kuwala na sitarajii
..Maziwani sidhani Kama wapo ila baharini wapo ambao kama mkunga ila ni nyoka wa baharini ukienda kweny mikoko unawakuta sana.
Kwa kawaida wavuvi wanwajua ndo maana ukienda sehemu za bahari hao mkunga sumu na bunju utakuta wametupwa baada ya kuchambua Wal wazuri na kuondoka nao...Sasa mtu anakuja anaokota akidhani kwamba labda wavuvi wamawasahau ndo hapo kama hatoharisha ni kifo...
Ukienda sehemu wanapovua kwa usawa wa bahari utakuta haswa bunju wapo kibao wametupwa wale weny sumu..
Mzee mmoja alikuwa kusema eti wale bunju hata awe na sumu wanamkataa kweny koromea wanatoa Yale maji meusi yote mpaka anakuwa safi halafu wanakula, ila za kuambiwa lazima uchanganye na zako🤣