Mafia: Watu 7 wafariki dunia baada ya kula nyama ya Kasa

Mafia: Watu 7 wafariki dunia baada ya kula nyama ya Kasa

kuna aina tofauti za kasa kuna wale wenye sumu wanajulikana na ambao hawana sumu wanajulikana uku kwetu wavuvi wakimpata mwenye sumu waaamuchia ila uyo mdudu ni mtamu saanaa ukitaka umfaidi mkaushe halaf subiria siku ya pili ndo umle unaweza usijue kbs ni kitoe gan nishakulaa sana hao kasa kuna watu wanatabia ya kumrushia paka kipisi kuskiliza mshindo
 
3959_aquaimages.jpg


Mwamba huyu hapa
 
kuna huyo halaf na mwengine anaitwa bunju ukikosea kumchuna mkampika mnakufa kama kunusa.
Kasa ,bunju na mkunga hao Wana species mbalimbali kama hauna utaalamu nao usije ukala ..wapo wenye sumu na wasio na sumu aisee ni hatar haswa bunju anakuondoa Maisha dk 5 hazifiki.

Samaki kama hao Wana kama mushkeri hawaelew mi binafsi siwez kula.
 
Kwanini kwa sasa sio salama, ina maana siku za nyuma kasa alikuwa salama. Inakuaje anawaua na ni walaji wazoefu wa seafoods vyenye sumu wanajua
Inawezekana hao kasa wapo jamii nyingi wapo wanaoliwa na wengine hawaliwi na ili kuwagundua inahitaji ujuzi wa wale wanaowajua vyema na ukizingatia kasa ni miongoni mwa viumbe vilivyopo hatarini kutoweka duniani basi uenda wale wanaoliwa wamebaki wachache sasa wale wenzangu na mie kwa sababu ya uchu wao wanajikamatia tu na kuwafakamia pasipo tahadhari ndio maana nikasema waachane na kitoweo hicho.
 
Back
Top Bottom