Mafia: Watu 7 wafariki dunia baada ya kula nyama ya Kasa

Samaki woote hao kasa wa kazi gani? Nilienda likizo kijijini wakaleta nyama ya kasa niliwakatalia nikasema bora nile wali na kachumbari tuu.
 
Samaki woote hao kasa wa kazi gani? Nilienda likizo kijijini wakaleta nyama ya kasa niliwakatalia nikasema bora nile wali na kachumbari tuu.
Itakua ana sumu kali sana huyo kiumbe...na jamaa hata hawajishughulishi kujua aina ya sumu iliyopo humo wakishatangaza basi...
 
Huyu kasa hakupigwa marufuku kwenye vitabu vya dini?

Unajinyima kula kitimoto halafu unakufa kwa kula kasa!
 
Itakua ana sumu kali sana huyo kiumbe...na jamaa hata hawajishughulishi kujua aina ya sumu iliyopo humo wakishatangaza basi...
Ndugu yangu hii nchi wee acha tuu, si umesikia huko Musoma chuo hakina wanafunzi miaka kibao na watu wanachukua mshahara vizuri tuu.Kwa hiyo ishu ya kasa hao watafiti wanaona marehemu hana akili.
 
Imenibidi niingie google kuangalia anafananaje huyo KASA...

Sasa jmn tupunguze uroho, samaki yupo kama likobe sijui mdudu gani afu watu wanakula.... Khaaaaaaaaaaaa
 
Hizo picha hadi mwili umetetemeka.
Kuna watu wanakula[emoji119]
 
Ndugu yangu hii nchi wee acha tuu, si umesikia huko Musoma chuo hakina wanafunzi miaka kibao na watu wanachukua mshahara vizuri tuu.Kwa hiyo ishu ya kasa hao watafiti wanaona marehemu hana akili.
Miaka yote hiyo wangewapa hayo madarasa watumie kwa shule za msingi au kituo cha Afya sema Nchi hii watu wengi wana udumazi sio bure...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…