Mafinga ni mji wa kibiashara lakini nyumba za kulala wageni nyingi ni chafu

Mafingaimekuwa makao makuu ya wilaya ya mufindi miaka mingi Sana hadi Sasa ilitakiwa iwe na hotel zenye hadhi za kutosha cha ajabu inakuja kuzidiwa na miji ambayo haijawai kuwa hata makao makuu ya wilaya mfano makambako na tunduma hii miji imekuwa kwa nguvu zao wenyewe wametumia fursa za jiografia za maeneo Yao mji uliotendea haki makao makuu ni iringa alafu una shangaa mtu analinganisha iringa na mafinga hii inatakiwa ishindane na kitwiru na ipogoro kwa kwel
EbsSRttXsAIAXV0.jpg

booking-call-255-738(0).jpg

351740716.jpg
276299065.jpg
Queen-Esther-Tower-Hotel-Iringa-Exterior.JPEG
maxresdefault(22).jpg
 
Attachments

  • 496098a.jpg
    496098a.jpg
    84.2 KB · Views: 18
Ushauri wa bure kama unakwenda huko mara kwa mara na unaenda kwa kutumia usafiri binafsi.
Nunua duvet moja maalumu kwa ajili ya safari na kutumia maeneo kama hayo.

Watu wengine uchafu ni asili yao.
 
Hakuna hotel, lodge, guest House yoyote hapa Tanzania inafua mablanketi kila baada ya kutumia mteja...

Sisi wateja ndio wa kulaumiwa kwa kuwa wachafu,

Sehemu yoyote ya kulala wageni wanatoa shuka mbili na blanket...moja ya kujifunika kabla ya blanket/duvet nyingine ya kutandika...
Sasa baadhi ya sisi wateja tuna tabia za kuwa wachafu kupitiliza tunalala bila kuoga (mama'e) halafu km huyu mtoa mada anaenda kuokota mizoga hapo Ma K anakuja kubiringika nayo halafu bila kuoga then anafutia blanket...unategemea nini?

Tujifunze sisi wateja kubadilika...sio kuhamisha lawama.
 
Hapana bwana swala Zima mafinga Inatakiwa wabadilike

Hiyo ni kazi ya wahudumu mzee
 
Naomba unitajie kwa kweli. Maana hata sizifahamu. Karibia lodge 2 nilizolala nilikumbana na mablanketi machafu, na yenye harufu kali! Na hivyo kuishia tu kujifunika shuka.
Jaribu kwenye lodge ya mbunge ile VAMOS,GARDEN PARK,VILLA PARK,WHITE,BRAVO,MERLIN,PORPCON,
 
Ukitaka mji uwe wa kibiashara lazima huduma kama hizi muhimu ziwe vizur kwa watu wenye vipato vyote hizo ndo biashara mfano angalia miji ya kibiashara kama kahama ,tunduma na makambako wapo vizuri kwa Kila huduma maduka saa kumi na mbili asubuh yamefunguliwa miji Ina watu wa kutosha full mishemishe njoo mafinga maduka yanaanza saa mbili kufunguliwa lodge ndo hivo Kuna haja ya kujifunza maeneo mengine
Tatuta pesa bwana mkubwaW
 
Karibu sana mafinga
Jaribu kulala guest house at least inayoanzia elfu 30 za kitanzania hizo 20 au 15 ni majanga
Hata kama itakuwa ya sh 15000 10000 usafi ni tabia ya mtu kwa sh erufu kumi ndogo?
 
Naomba unitajie kwa kweli. Maana hata sizifahamu. Karibia lodge 2 nilizolala nilikumbana na mablanketi machafu, na yenye harufu kali! Na hivyo kuishia tu kujifunika shuka.
Tembea na shuka zako za ziada mafinga njombe makambako ni sehemu ze baridi sana haku nyumba ya wageni itakayo lala siku 1 kesho yake wakakubadirishia buraketi na kupewa ilio furiwa jana hakuna kitu kama hicho labda mashuka
 
 B

Baridi sio sababu ya kuwa chafu ishu short time ni nyingi mno na hizi Ndo zinaleta uchafu mwingi kwenye ma lodge
 
Upo Sahihi bro lodge ni moja ya huduma za kibiashara Sasa hata kama lodge hazieleweki itakuwa Ina tofauti gani na miji midogo inayo deal kilimo kama igowole ,nyororo nk lazima ifikie stage wajitofautishe
 
Back
Top Bottom