Mafinga ni mji wa kibiashara lakini nyumba za kulala wageni nyingi ni chafu

Mafinga ni mji wa kibiashara lakini nyumba za kulala wageni nyingi ni chafu

Kama ni hivyo si mji wa kibiashara ni wa wakulima. Mji wa kibiashara hauwezi kuwa na gesti chafu.
Upo Sahihi lodge ni huduma ya kibiashara Sasa kama hazieleweki ni shida hiyo na mafinga huwezi kusema mji wa kibiashara ule ni mji wa viwanda na kilimo Cha miti angalia hata population bado ndogo watu wengi wanashinda misitun na viwandani na sehemu ya mji iliyochangamka ni jam bek ha nmb bank na njia panda ya madibila ila ukienda miji ya kibiashara Ina watu wa kutosha
 
Ukitaka mji uwe wa kibiashara lazima huduma kama hizi muhimu ziwe vizur kwa watu wenye vipato vyote hizo ndo biashara mfano angalia miji ya kibiashara kama kahama ,tunduma na makambako wapo vizuri kwa Kila huduma maduka saa kumi na mbili asubuh yamefunguliwa miji Ina watu wa kutosha full mishemishe njoo mafinga maduka yanaanza saa mbili kufunguliwa lodge ndo hivo Kuna haja ya kujifunza maeneo mengine
Sikupingi bloangu
 
Tate Mkuu mapungufu hayo ni fursa kwako. Fanya mpango wa kujenga Hotel mitaa hio ambayo unaona huduma za wengine ni mbovu.
 
Jaribu kwenye lodge ya mbunge ile VAMOS,GARDEN PARK,VILLA PARK,WHITE,BRAVO,MERLIN,PORPCON,
Zipo Kinyanambo bila shaka. Wakati mwingine nitafanya hivyo mkurugenzi. Ila zile za pale stendi, naona nyingi hali ni tete.
 
Nikiwa mafinga Kuna lodge iko karibu na stendi huwa naitumia inaitwa itwalavano na Kuna nyingine ipo nyumba yake jina limenitoka kidogo Ila Kuna nyingine Kama merin n
Wanajitahidi kwenye usafi wa mablanketi. Maana kuna sehemu nililala siku kadhaa zilizopita, aisee lile blanketi lilifuliwa miezi kadhaa iliyopita.

Lilikuwa linatoa harufu kali mpaka basi. Namuuliza mhudumu kama kuna blanketi lenye unafuu, nikaona ananishangaa tu!
 
Hakuna hotel, lodge, guest House yoyote hapa Tanzania inafua mablanketi kila baada ya kutumia mteja...

Sisi wateja ndio wa kulaumiwa kwa kuwa wachafu,

Sehemu yoyote ya kulala wageni wanatoa shuka mbili na blanket...moja ya kujifunika kabla ya blanket/duvet nyingine ya kutandika...
Sasa baadhi ya sisi wateja tuna tabia za kuwa wachafu kupitiliza tunalala bila kuoga (mama'e) halafu km huyu mtoa mada anaenda kuokota mizoga hapo Ma K anakuja kubiringika nayo halafu bila kuoga then anafutia blanket...unategemea nini?

Tujifunze sisi wateja kubadilika...sio kuhamisha lawama.
Upo anambra state kaka au uliwahi kaa naija.
 
Back
Top Bottom