Hakuna hotel, lodge, guest House yoyote hapa Tanzania inafua mablanketi kila baada ya kutumia mteja...
Sisi wateja ndio wa kulaumiwa kwa kuwa wachafu,
Sehemu yoyote ya kulala wageni wanatoa shuka mbili na blanket...moja ya kujifunika kabla ya blanket/duvet nyingine ya kutandika...
Sasa baadhi ya sisi wateja tuna tabia za kuwa wachafu kupitiliza tunalala bila kuoga (mama'e) halafu km huyu mtoa mada anaenda kuokota mizoga hapo Ma K anakuja kubiringika nayo halafu bila kuoga then anafutia blanket...unategemea nini?
Tujifunze sisi wateja kubadilika...sio kuhamisha lawama.