Kwa hiyo low budget ndio wanatakiwa wawe wachafu mkuu...Sio kwamba unakwenda lodge za low budget bloangu?
Ukifika mafinga uliza hotel hizi, Royal , merin 1&2,pop corn, na Moja nimesahau jina ipo changalawe
Hii inaweza kuwa fursa ya kuanzisha Modern Dry-cleaning mpwa
Hapana bwana swala Zima mafinga Inatakiwa wabadilikeHakuna hotel, lodge, guest House yoyote hapa Tanzania inafua mablanketi kila baada ya kutumia mteja...
Sisi wateja ndio wa kulaumiwa kwa kuwa wachafu,
Sehemu yoyote ya kulala wageni wanatoa shuka mbili na blanket...moja ya kujifunika kabla ya blanket/duvet nyingine ya kutandika...
Sasa baadhi ya sisi wateja tuna tabia za kuwa wachafu kupitiliza tunalala bila kuoga (mama'e) halafu km huyu mtoa mada anaenda kuokota mizoga hapo Ma K anakuja kubiringika nayo halafu bila kuoga then anafutia blanket...unategemea nini?
Tujifunze sisi wateja kubadilika...sio kuhamisha lawama.
Hiyo ni kazi ya wahudumu mzeeHakuna hotel, lodge, guest House yoyote hapa Tanzania inafua mablanketi kila baada ya kutumia mteja...
Sisi wateja ndio wa kulaumiwa kwa kuwa wachafu,
Sehemu yoyote ya kulala wageni wanatoa shuka mbili na blanket...moja ya kujifunika kabla ya blanket/duvet nyingine ya kutandika...
Sasa baadhi ya sisi wateja tuna tabia za kuwa wachafu kupitiliza tunalala bila kuoga (mama'e) halafu km huyu mtoa mada anaenda kuokota mizoga hapo Ma K anakuja kubiringika nayo halafu bila kuoga then anafutia blanket...unategemea nini?
Tujifunze sisi wateja kubadilika...sio kuhamisha lawama.
Tatuta pesa bwana mkubwaKwa hiyo low budget ndio wanatakiwa wawe wachafu mkuu...
Sawa bloanguBado si hoja.Kila sehemu itumiwayo na binadamu inatakiwa iwe safi to the standard required.Wawe wasafi kuanzia roho,mwili hadi sehemu za malazi na chakula.
Jaribu kwenye lodge ya mbunge ile VAMOS,GARDEN PARK,VILLA PARK,WHITE,BRAVO,MERLIN,PORPCON,Naomba unitajie kwa kweli. Maana hata sizifahamu. Karibia lodge 2 nilizolala nilikumbana na mablanketi machafu, na yenye harufu kali! Na hivyo kuishia tu kujifunika shuka.
Tatuta pesa bwana mkubwaW
Mungu ni mwema ngoja tuendelee kuzitafuta...Tatuta pesa bwana mkubwa
Fa'mchezo wewe na low budget lodges! Unaweza ondoka na utangotango.Sio kwamba unakwenda lodge za low budget bloangu?
Hata kama itakuwa ya sh 15000 10000 usafi ni tabia ya mtu kwa sh erufu kumi ndogo?Karibu sana mafinga
Jaribu kulala guest house at least inayoanzia elfu 30 za kitanzania hizo 20 au 15 ni majanga
Tembea na shuka zako za ziada mafinga njombe makambako ni sehemu ze baridi sana haku nyumba ya wageni itakayo lala siku 1 kesho yake wakakubadirishia buraketi na kupewa ilio furiwa jana hakuna kitu kama hicho labda mashukaNaomba unitajie kwa kweli. Maana hata sizifahamu. Karibia lodge 2 nilizolala nilikumbana na mablanketi machafu, na yenye harufu kali! Na hivyo kuishia tu kujifunika shuka.
Baridi sio sababu ya kuwa chafu ishu short time ni nyingi mno na hizi Ndo zinaleta uchafu mwingi kwenye ma lodgeTembea na shuka zako za ziada mafinga njombe makambako ni sehemu ze baridi sana haku nyumba ya wageni itakayo lala siku 1 kesho yake wakakubadirishia buraketi na kupewa ilio furiwa jana hakuna kitu kama hicho labda mashuka
Aende pia MakeiInaitwa over the top