Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
- #21
Hongera sana kpnz na pole kwa majukumu ndio ukubwa huo,wala usikate moto kaza tu mpaka kielewekeAmiin tumebarikiwa
Na tunashukuru Mungu Kwa kuzaliwa mwanzo Yani Kuna mda unaona kabisa unatak kukata moto ila ukiangalia kunawatu wanakuangalia wanahitaji msaada au la wew ndo mfano Bora kwao inabid usimame
Nyie ndio nguzo za familia hamna budi kusimama imara maana nguzo ikiyumba tu kwengine nako kunayumba