Mafirst born muishi maisha marefu

Mafirst born muishi maisha marefu

😃😃😃Acha kutuonea wivu itakuwa lastborn wee kazi yenu kususa tu ndo mnachojua😀😀😀
😹😹😹 khaaaa.!!
Wifi mi napenda kususa mpk nakera, halafu nna viburi vile vya uzima.!!

Nilikuwa nikisusa najifanya siongei na mtu ili nisioshe vyombo, basi sis anajua mbinu zangu atasema “Osha vyombo ndo ususe” 🤣🤣
 
😂😂Bora umekubali mdogowangu alikuwa analia ukipikwa ugali wa Dona ila lastborn hapana 😂
 
Kpnz Labella being first born haimaanishi kwamba nisiweze kuishi maisha yangu,kikubwa upande wa pili wa shilingi natimiza majukumu yangu kama kawaida

Maisha ni kubalance mambo,na istoshe kukaa na dem kwenye basi haimaanishi kwamba nipo kimapenzi zaidi laa,ila hata wewe utakubaliana na mimi,kukiwa na combination ya me na ke hakuna kuboa yan iko hivyo

Ntakuja na uzi wa malast born mda si mrefu nina jambo na nyinyi
Mtuache ma lastborn nyie endeleeni kujipakulia minyama tu.!!
 
😂😂Bora umekubali mdogowangu alikuwa analia ukipikwa ugali wa Dona ila lastborn hapana 😂
😹😹😹😹
Mimi nilikuwa sipendi kuoga ile asubuhi, mchana na jioni, basi bibi akija anamsema mama “Muacheni mtoto kila saa mnataka aoge ndiomana anakonda hanenepi” 🤣🤣

Basi hapo mimi bichwa hiloo nafurahi kweli, huyu bibi mpk leo nampenda.!!
Tupo km mtu na mwanae, kumjua bibi yangu mpk tukwambie.
 
Bibi yako katisha sana,yaani ukioga sana unakonda😂😂

Mwambie nimempenda bure
 
Acheni kujipa maujiko, wengi wenu walevi tu 😹😹
Ulevi na roho mbaya ni vitu havipatani kabisa , walevi wana mioyo ya kipekee sana.
20250105_084455.jpg
 
Huu ni ushuhuda tosha kwamba hawa watu ni watu na nusu hakika wanapambana sana

Duh huyu jamaa uliyemuelezea ana changamoto sana kwakweli,mungu amsimamie sana

Nimeboreka na tabia ya baba yake,mtu amemfungulia biashara mama yake halafu baba anaifilisi,hakika sio baba wote wana sifa ya kuwa baba
Uyo baba ni last born nadhani
 
😹😹😹 huyo bibi yangu ana vituko, ana vimaneno vingi halafu bibi wa mjini sasa.!!

Nikimuona huwa najiona mimi kashanipa vitabia vyake….!!
ila bora bibi wa hivyo anafurahi na wajukuu zake,kuna bibi wengine hawana kucheka wala kufurani na wajukuu zao ni visirani hatar yani
 
Walevi waheshimiwe mkuu, japo mimi sio mtoto wakwanza ni wa nane , wanne kutoka mwisho.
Mko dazani?? 😹😹
Ila wazee wa kichaga wanapenda chini khaaa.!! 🤣

Hapo kazaa kwa wamama tofauti tofauti, sijui wana shida gani?? Hawazalishi sehemu moja.!
 
Back
Top Bottom