Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa boss,hatukatai hilo unalosema,ila hapa tunazungumzia kwa asilimia kubwa wadadaNadhani sio first borns tu, hata 2nd na 3rds born nao wanahusika sana hasa kama familia ni kubwa...binafsi nimeshuhudia unaacha mambo yako makubwa ya maendeleo ili uhakikishe madogo wanamaliza chuo na usiombe sijui wamekosa mkopo wa HESLB halafu ni mapacha na wako vyedi upstairs, huna pa kukimbilia ni kuwasaidia tu no way out.
Ni sahihi unavyosema na hatulipingi hilo hata kidogo,ila hapa tunazungumzia kwa asilimia kubwa wadada na wakak wakubwa mara nyingi hubeba majukumu makubwaNadhani sio first borns tu, hata 2nd na 3rds born nao wanahusika sana hasa kama familia ni kubwa...binafsi nimeshuhudia unaacha mambo yako makubwa ya maendeleo ili uhakikishe madogo wanamaliza chuo na usiombe sijui wamekosa mkopo wa HESLB halafu ni mapacha na wako vyedi upstairs, huna pa kukimbilia ni kuwasaidia tu no way out.
HakikaView attachment 3192424
Kuwa wa kwanza kuzaliwa hakika ni mapambano makubwa sana,kwasababu moja kwa moja unajikuta majukumu yanakuandama kwa namna moja au nyingine
Hawa watu wanajitoa sana kuokoa jahazi lisizame katika familia,tena katika hizi familia zetu ambazo bado hazija jipata hakika mafirst born wanajitoasana kwa kupenda au kwakutokupenda,na watafanyaje angali wanategemewa wao
Ni mara nyingi unawakuta hawa watu wanashindwa kufanya mambo yao ya maendeleo kwasababu wapo pale kusapoti familia zao na wadogo zao,kwahiyo next time ukimuona first born hajajenga au kujiimarisha kiuchumi basi tambua ana mzigo mkubwa wa ndugu na jamaa wanamtegemea
Najua kuna baadhi mtasema hayo sio majukumu yake,bali majukumu yake ni kuangalia watoto wake na familia yake,nasema hivi kwa mtu ambaye anajitambua hawezi acha wazazi wake au ndugu ambao wanahitaji msaada kisha akawapuuza,hilo haliwezekani kwasababu hao ni jamaa zake na watu wake wa karibu
Kwao wao kuwaona ndugu zao wanaenda shule kwa msaada wao ni faraja kubwa sana,kuwaona ndugu zao wanapata mkate wao wa kila siku ni jambo lenye kuwapa faraja sana,kuiona familia inatabasamu ni jambo lenye kuwapa amani katika nyoyo zao
Mafirst born aluta continua kama mlivyoanza na ndio mtakavyo maliza,daima endeleeni kushow love kwa ndugu jamaa na marafiki,mmezaliwa wa kwanza kwakuwa mna mission hapa duniani,nyie ni viongozi,na sifa kubwa ya kiongozi ni kutatua shida za ndugu zake na jamaa zake
Kiongozi siku zote huwa baina ya shida za watu wake na kutafuta namna ya kuzitatua au kama sio kuzipunguza,haukuwa mzaliwa wa kwanza kwa bahati mbaya bali ili upambanie jamii yako
Nafahamu huwa mnajitoa sana kwa ajili ya ndugu hata wakati mwingine mnakosa yale ambayo mnayapenda katika nafsi,nawapa moyo kwamba,hakika mnabadilisha maisha ya watu wengi sana,huenda msipate nafasi ya kuambiwa hayo lkn mfahamu kwamba juhudi zenu haziendi bure
Endeleeni kupambana mpaka tone la mwisho la damu
Ni hayo tu!
Sawa boss wangu tupo pamoja,ila madogo wasione mwenendo wako na mashangazi watakuvua vyeoMimi ni first born pia mkuu..
Unayosema yote ni kweli kabisa
Tutawafikia baadae kuna jambo lenu linakujaMA 9th born tunamoment wapi😁
Mi madogo walionifuata upande wa baba wote wamenikataa kisa wanazani mimi ndo chanzo cha mama yao kuachika hivo sina mpango nao..Sawa boss wangu tupo pamoja,ila madogo wasione mwenendo wako na mashangazi watakuvua vyeo
Last born kwenu ana umri gani?Sasa hujamkoti mtu sijui ni meseji yangu au laa,kama ni mimi nina 45 boss
Familia yetu ni ya wake wawili kwa maana baba anawake wawili,upande wa mama yetu tupo sita,hakuna anayesoma now,wa mwisho ana 27Last born kwenu ana umri gani?
Mtoto wa kwanza huwa anaweza kuwa Vulnerability .
Nfaelezea vizuri hapa chini.
Happ hatujafanikiwa mentally unataka kumaanisha nini mkuuFirst born wengi wapo vulnerability.
Hawajafanikiwa ,mentally ,&financially.
Ila huwa wapo very luckiest .
Happ hatujafanikiwa mentally unataka kumaanisha nini mkuu
Aaaah inawezekana kuwa hivo..Mkuu , hii haimaniishi wote wapo hivyo. Kuna ambao wapo vizuri.
Wazaliwa wa kwanza baadhi ya familia utawakuta wana uwezo mdogo wa kuji-control katika maisha na kuwachorea ramani wadogo zao.
Kuna idadi kubwa Sana ya watu Leo wanajuta kwanini Alizaa mtoto mmoja .
Fatilia familia nyingi na uangalie mtoto wa kwanza hasa hizi familia ambazo za kawaida Uswahilini ,vijijini n.k.
Wajuvi wa mambo huwa wanatoa kila rasilimali pamoja na ulinzi mkubwa Kwa mtoto wa kwanza maaana huyo ni Kama lango la mafanikio ya wadogo zake.
Aaaah inawezekana kuwa hivo..
Ila hi mantiki ya mtoto wa kwanza imekaaje kwa mimi ambaye wanasema my brother alifariki nikiwa mimi nipo too young... Hapo upande wa baba....
Hapo tasema mimi ni wa kwanza
Duuuh basi hii hatareee...Kwanza pole Sana Kwa kumpoteza ndg yako
Wewe unahesabika wa pili Ila unatambulika kaka mkubwa uliye hai na pekee
So unabidi u pray role ya first born Kwa wadogo zako .