Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
-
- #21
Hongera sana kpnz na pole kwa majukumu ndio ukubwa huo,wala usikate moto kaza tu mpaka kielewekeAmiin tumebarikiwa
Na tunashukuru Mungu Kwa kuzaliwa mwanzo Yani Kuna mda unaona kabisa unatak kukata moto ila ukiangalia kunawatu wanakuangalia wanahitaji msaada au la wew ndo mfano Bora kwao inabid usimame
Hongera boss,wewe ndio captain meli lazima ifike pwani haijalishi bahari imechafuka kiasi gani malengo meli ifike kwe gati lake bandariniNipo nalikokota Jahazi staling mwenyewe. Nimemalizana nao madogo sasa nipo na familia yangu na bi mdenga. Kidogo tuu kikubuma lazima akuvutie waya.
Safi sana boss1st born ππ, tupo na tutaendelea kuwepo.
Asante Grahams Babu njoo ututie moyo firstborn hukuHongera sana kpnz na pole kwa majukumu ndio ukubwa huo,wala usikate moto kaza tu mpaka kieleweke
Nyie ndio nguzo za familia hamna budi kusimama imara maana nguzo ikiyumba tu kwengine nako kunayumba
Si wa kiume tu boss,first born wote wa jinsia zoteFirst born wakiume ππ
Kweli kabisa yaniFirst Born ni lango kila Kambi inaling'ang'ania.
Hatukatai sio wazaliwa wa kwanza wote wapo timamu,lakini wengi wao wanajitahidi na kupambana sana kwa ajili ya ndugu zaoMbona kaka yangu ni kilaza ?
Utafiti wako upitie upya tena
Jpili hii unaenda kupambana nini? πΉUmenipa moyo sana mkuu, Kwanza Ngoja niamke nikapambane!!
Amina boss wanguNa ukitaka kujua Mungu ni mwema ma first born weng Huwa wanakuwa na akili za maisha.......first born muishi maisha marefu
Ukizaliwa wa kwanza mwanamke sio firstborn?πFirst born wakiume ππ
Nafurahi kusikia hivyo boss wangu,pambana kadri ya uwezo wako huku ukimuomba Mungu akupe subira na neema zakeUmenipa moyo sana mkuu, Kwanza Ngoja niamke nikapambane!!
Shukrani sana bossWazaliwa wa kwanza ni baba mbadala,Esau alizalau uzaliwa wake wa kwanza akamuuzia mdogo wake kwa chakula cha dengu akawa ndio ameuza baraka zote za uzaliwa wa kwanza,Yakobo ambaye ndiye mdogo wake Esau ndiye Israel wa leo taifa lenye nguvu duniani.
Ni kweli kabisa,fikiria kwamba mtu huyu hajajipata kimaisha na wakati huo huo kuna watu wanamuangalia yeye,hakika kama hayopo imara lazima achanganyikiwe maana anajiona amekwama kuwainua watu ambao wanamtegemea yeyeFirst born wengi hawajafanikiwa KIMAISHA wengi wamepoteza Mwelekeo wameishia kuvuta bangi na pombe SAD.
πππAcha kutuonea wivu itakuwa lastborn wee kazi yenu kususa tu ndo mnachojuaπππAcheni kujipa maujiko, wengi wenu walevi tu πΉπΉ
Last born akiamka utasikia mama kasema nipakulie ubwabwa usiponipa naenda kumwambia ππWewe Etugrul Bey unayekasirika kwenye bus kukaa na wanaume wenzio badala ya pisi ndo firstborn wa mfano?? πΉπΉ
Unatekeleza majukumu ya kusambaza yutiayi SUGU au?? π€£
Bora niendelee kujivunia u-lastborn wangu tu..!!
Kpnz Labella being first born haimaanishi kwamba nisiweze kuishi maisha yangu,kikubwa upande wa pili wa shilingi natimiza majukumu yangu kama kawaidaWewe Etugrul Bey unayekasirika kwenye bus kukaa na wanaume wenzio badala ya pisi ndo firstborn wa mfano?? πΉπΉ
Unatekeleza majukumu ya kusambaza yutiayi SUGU au?? π€£
Bora niendelee kujivunia u-lastborn wangu tu..!!
Nina jambo nao hawa watu wa kudeka deka,ntawafikia mda si mrefuLast born akiamka utasikia mama kasema nipakulie ubwabwa usiponipa naenda kumwambia ππ