Mafirst born muishi maisha marefu

Labda kwenu..!!
 
We ni first born ? au unafaidi matunda ya sisi born first
 
Asante Grahams Babu njoo ututie moyo firstborn huku
Hongereni kuzaliwa wa kwanza kwenye familia zenu

Kuzaliwa wa kwanza, kunaambatana na changamoto zake

Kiroho, huwa Kuna vita sana kwa watoto wa kwanza

Ndiyo maana huwa inashauriwa kuwaombea sana watoto wa kwanza

Kwa maana huwa ni njia Kwa wadogo zake

Ukiharibu first born, unaweza kuwakatisha tamaa wadogo zako, na ukifanikiwa inakuwa ni chachu pia ya kuwashika Mkono wadogo zako na ndugu wengine

Binafsi sijazaliwa wa kwanza

Ila mzigo nilionao nyuma yangu, utasema ndiyo first born

Hongereni na poleni first born wote wa JF

Najua mnayopitia kama first born huko kwenye familia zenu

Mungu awasaidie
 
Nimeipenda hii boss

Hongera sana kaka mkubwa,naamini kabisa story itazidi kuwapa hamasa dada na kaka wakubwa wapambanie familia zao
 
Shukrani sana mzee wa hovyo,na pole kwa changamoto unazopitia pia

Aluta continua
 
Kwanini boss

Sielewi sababu mkuu lakini nadhani kwa kuwa na first born wengi huzaliwa na Karama za uongozi basi mwanamke firstborn akiingia kwenye ndoa huingia na mamlaka ya ufirst born ilhali mwanaume akiingia na ujinga wa 'mimi ni kichwa' cha familia!hapo ndipo tunapopata usemi usemao "FAHARI WAWILI HAWAKAI ZIZI MOJA"
 
Mbona kaka yangu ni kilaza ?

Utafiti wako upitie upya tena
Kumbuka first born wa familia ya kishua huwa ni mzigo sana.Nguo mpya yeye, kudekezwa yeye, hapo akili atatoa wapi? Kimbembe kwa watoto wanaofuatia wao ni kuvaa nguo za first born kwenda mbele na mshua kishaanza kuchoka pesa anahesabilia mfukoni msione ana kiasi gani.
 
Kama wewe ni first Born gonga like hapa
 
Una point boss wangu inabidi usikilizwe
 
Shukrani sana mzee wa hovyo,na pole kwa changamoto unazopitia pia

Aluta continua
Shukrani sana Mkuu, japo tangu huu Mwaka uanze nimekuwa Mzee wa busara kuliko mwaka Jana, nadhani hizi mvi zangu kuongezeka kumepelekea na busara kuongezeka pia πŸ€—

Changamoto anayopitia first born wa kiume na first born wa kike Kuna utofauti

First born wa kiume huwa anachukuliwa kama ni mrithi wa familia

Kwahiyo vita yake huwa ni kubwa kuliko first born wa kike, as wanachukulia baada ya muda ataolewa na kwenda kuendelea Ukoo mwingine.
 
Kwanza kuanzia sasa ntakuita mzee wa busara na Mungu azidishe busara na hekima ndani yako,wazee kama nyinyi ushauri wenu unahitajika sana hapa jamvini

Kuhusu hayo mengine sitii neno naona ntaharibu

Asante sana mzee mwenzangu
 
Kwanza kuanzia sasa ntakuita mzee wa busara na Mungu azidishe busara na hekima ndani yako,wazee kama nyinyi ushauri wenu unahitajika sana hapa jamvini

Kuhusu hayo mengine sitii neno naona ntaharibu

Asante sana mzee mwenzangu
Shukrani sana Mkuu, barikiwa sana πŸ™πŸ™
 
Amiin amiin
Kwakweli mapambano ni makali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…