Mafisadi pia wanasafishia pesa zao Dodoma, inflated real estate

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,850
Reaction score
6,030
Kiufupi hii nchi Kwa Sasa Kuna watu wamepata pesa nyingi sana ,kupitia ufisadi wa kiserikali kuliko walivyopata pesa nyingi kupitia madawa ya kulevya huku nyumba, huko zikiwa zote hizi ni utakatishaji wa Fedha

Sasa wanasiasa waizi, na washirika wao wanapesa nyingi sana na sio kwamba ni ma drug mogul, ni Kodi zimefanyiwa ufisadi.
Dodoma , Dodoma ,Dodoma huku ni moja ya eneo ambalo mafisadi wa serikali wanatakatisha pesa, ukiacha hiyo ya kununua magari ya kifahari Daslam.

Sasa hivi Dodoma mjini city centre , plot zinauzika Kwa sana, na vinashushwa viberiti/gorofa, plot hizo zinanunuliwa kuanzia milioni 500 Hadi bilioni 2, na wanunuzi wengi ni wanasiasa na wachache ni wafanya biashara, na kati ya hao, Kuna Kigogo wa Tilume ya uchaguzi anaendelea kujenga gorofa lake baada ya
kununua plot mjini Kwa pesa mingi sana

Sasa hoja yangu, ni kuwa serikali itakayoingia madarakani 2030 ije kuchunguza Ili suala la ufisadi na utakatishaji wa pesa unaofanyika Dodoma.
 
Ngoja nikuonyeshe jinsi mchezo unavyofanywa.

1. Kigogo serikalini anaiba $600,000 cash kwenye dili fulani sasa hii pesa inabidi iingizwe sehemu ili iwe safi, kukaa nayo ni hatari inabidi iingizwe sehemu haraka. Hawezi kupeleka bank maana ataulizwa imetoka wapi hii pesa.

2. Huyu kigogo anaamua kununua plot of land cash kwa gharama yoyote hapo Dodoma. Kumbuka watu wanaojaribu kufanya money laundering lengo si kutengeneza faida au kupunguziwa bei, lengo ni kuhakikisha pesa chafu inageuzwa safi kwa haraka ili itumike. Ukiwa na $300,000 of dirty money hiyo value yake ni sawa na $0 kwenye uchumi halisi.

3. Kiwanja kikishanunuliwa sasa atamtafuta contractor/builder atapatana naye na atamlopa cash eg ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa nyumba etc na atapata risiti zote halali za kodi, hapa tayari ashapata cover up.

4. Nyumba ikikamilika anatafuta wapangaji au anaiuza na anawaambia walipie kupitia bank. Kama ikitokea TRA au serikali ikamuuliza haya mabilioni bank umetoa wapi anawaonyesha risiti za ujenzi boom kazi imeisha. Money laundering imefanyika.
 
Azimio kali kuliko azimio la arusha ndiyo dawa wa wahuni wa ccm na serikali yao
 
We sema hawafuatiliwi, wakifuatiliwa Risiti za ujenzi tu zinazaa swali la unajengaje hizi nyumba.
 
Serikali na vyombo vyake hawajaamua sababu ni wao,kumjua mtu kuwa katatkatisha pesa ni jambo rahisi sana, lazima atapata kigugumizi cha kueleza alipata wapi hizo pesa,ie chanzo, kodi na thamani ya mali alizonazo, wakiamua ni kitu cha sekunde tu.
 
Sasa hapo ndo umejifichaje? Sema Tanzania issue ya utakatishaji fedha ni rahisi sana na hakuna anayejali.
 
Serikali na vyombo vyake hawajaamua sababu ni wao,kumjua mtu kuwa katatkatisha pesa ni jambo rahisi sana, lazima atapata kigugumizi cha kueleza alipata wapi hizo pesa,ie chanzo, kodi na thamani ya mali alizonazo, wakiamua ni kitu cha sekunde tu.
Kabisa mkuu
 
Ngoja nikuonyeshe jinsi mchezo unavyofanywa.

1. Kigogo serikalini anaiba $600,000 cash kwenye dili fulani sasa hii pesa inabidi iingizwe sehemu ili iwe safi, kukaa nayo ni hatari inabidi iingizwe sehemu haraka. Hawezi kupeleka bank maana ataulizwa imetoka wapi hii pesa.

2. Huyu kigogo anaamua kununua plot of land cash kwa gharama yoyote hapo Dodoma. Kumbuka watu wanaojaribu kufanya money laundering lengo si kutengeneza faida au kupunguziwa bei, lengo ni kuhakikisha pesa chafu inageuzwa safi kwa haraka ili itumike. Ukiwa na $300,000 of dirty money hiyo value yake ni sawa na $0 kwenye uchumi halisi.

3. Kiwanja kikishanunuliwa sasa atamtafuta contractor/builder atapatana naye na atamlopa cash eg ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa nyumba etc na atapata risiti zote halali za kodi, hapa tayari ashapata cover up.

4. Nyumba ikikamilika anatafuta wapangaji au anaiuza na anawaambia walipie kupitia bank. Kama ikitokea TRA au serikali ikamuuliza haya mabilioni bank umetoa wapi anawaonyesha risiti za ujenzi boom kazi imeisha. Money laundering imefanyika.
Ivyo ndo utaichenga serikali ikikutaka kukufuatilia ? Ndugu utadakwa asubuhi kabla ata jogoo halijawika. Njia izo zinaonekana zinafanywa na watu hawadakwi sababu wanatokea humo humo ktk mifumo au wahusika wanakula na watu wa vitengo.
 
Ngoja nikuonyeshe jinsi mchezo unavyofanywa.

1. Kigogo serikalini anaiba $600,000 cash kwenye dili fulani sasa hii pesa inabidi iingizwe sehemu ili iwe safi, kukaa nayo ni hatari inabidi iingizwe sehemu haraka. Hawezi kupeleka bank maana ataulizwa imetoka wapi hii pesa.

2. Huyu kigogo anaamua kununua plot of land cash kwa gharama yoyote hapo Dodoma. Kumbuka watu wanaojaribu kufanya money laundering lengo si kutengeneza faida au kupunguziwa bei, lengo ni kuhakikisha pesa chafu inageuzwa safi kwa haraka ili itumike. Ukiwa na $300,000 of dirty money hiyo value yake ni sawa na $0 kwenye uchumi halisi.

3. Kiwanja kikishanunuliwa sasa atamtafuta contractor/builder atapatana naye na atamlopa cash eg ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa nyumba etc na atapata risiti zote halali za kodi, hapa tayari ashapata cover up.

4. Nyumba ikikamilika anatafuta wapangaji au anaiuza na anawaambia walipie kupitia bank. Kama ikitokea TRA au serikali ikamuuliza haya mabilioni bank umetoa wapi anawaonyesha risiti za ujenzi boom kazi imeisha. Money laundering imefanyika.

Vipi wakihoji chanzo cha fedha za ujenzi je?
 
Back
Top Bottom