Kiufupi hii nchi Kwa Sasa Kuna watu wamepata pesa nyingi sana ,kupitia ufisadi wa kiserikali kuliko walivyopata pesa nyingi kupitia madawa ya kulevya huku nyumba, huko zikiwa zote hizi ni utakatishaji wa Fedha
Sasa wanasiasa waizi, na washirika wao wanapesa nyingi sana na sio kwamba ni ma drug mogul, ni Kodi zimefanyiwa ufisadi.
Dodoma , Dodoma ,Dodoma huku ni moja ya eneo ambalo mafisadi wa serikali wanatakatisha pesa, ukiacha hiyo ya kununua magari ya kifahari Daslam.
Sasa hivi Dodoma mjini city centre , plot zinauzika Kwa sana, na vinashushwa viberiti/gorofa, plot hizo zinanunuliwa kuanzia milioni 500 Hadi bilioni 2, na wanunuzi wengi ni wanasiasa na wachache ni wafanya biashara, na kati ya hao, Kuna Kigogo wa Tilume ya uchaguzi anaendelea kujenga gorofa lake baada ya
kununua plot mjini Kwa pesa mingi sana
Sasa hoja yangu, ni kuwa serikali itakayoingia madarakani 2030 ije kuchunguza Ili suala la ufisadi na utakatishaji wa pesa unaofanyika Dodoma.