ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Una maana maghorofa yana nyanyuka kaka si mchezo nilikua naishi pale NYUMA ya makao makuu ya ccm, mji mpya vipi bro na hapo mbanda zimenynyuka?Hii ni kweli dodoma nipo ujadanganya
Azimio kali kuliko azimio la arusha ndiyo dawa wa wahuni wa ccm na serikali yaoKiufupi hii nchi Kwa Sasa Kuna watu wamepata pesa nyingi sana ,kupitia ufisadi wa kiserikali kuliko walivyopata pesa nyingi kupitia madawa ya kulevya huku nyumba, huko zikiwa zote hizi ni utakatishaji wa Fedha
Sasa wanasiasa waizi, na washirika wao wanapesa nyingi sana na sio kwamba ni ma drug mogul, ni Kodi zimefanyiwa ufisadi.
Dodoma , Dodoma ,Dodoma huku ni moja ya eneo ambalo mafisadi wa serikali wanatakatisha pesa, ukiacha hiyo ya kununua magari ya kifahari Daslam.
Sasa hivi Dodoma mjini city centre , plot zinauzika Kwa sana, na vinashushwa viberiti/gorofa, plot hizo zinanunuliwa kuanzia milioni 500 Hadi bilioni 2, na wanunuzi wengi ni wanasiasa na wachache ni wafanya biashara, na kati ya hao, Kuna Kigogo wa Tilume ya uchaguzi anaendelea kujenga gorofa lake baada ya
kununua plot mjini Kwa pesa mingi sana
Sasa hoja yangu, ni kuwa serikali itakayoingia madarakani 2030 ije kuchunguza Ili suala la ufisadi na utakatishaji wa pesa unaofanyika Dodoma.
We sema hawafuatiliwi, wakifuatiliwa Risiti za ujenzi tu zinazaa swali la unajengaje hizi nyumba.Ngoja nikuonyeshe jinsi mchezo unavyofanywa.
1. Kigogo serikalini anaiba $600,000 cash kwenye dili fulani sasa hii pesa inabidi iingizwe sehemu ili iwe safi, kukaa nayo ni hatari inabidi iingizwe sehemu haraka. Hawezi kupeleka bank maana ataulizwa imetoka wapi hii pesa.
2. Huyu kigogo anaamua kununua plot of land cash kwa gharama yoyote hapo Dodoma. Kumbuka watu wanaojaribu kufanya money laundering lengo si kutengeneza faida au kupunguziwa bei, lengo ni kuhakikisha pesa chafu inageuzwa safi kwa haraka ili itumike. Ukiwa na $300,000 of dirty money hiyo value yake ni sawa na $0 kwenye uchumi halisi.
3. Kiwanja kikishanunuliwa sasa atamtafuta contractor/builder atapatana naye na atamlopa cash eg ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa nyumba etc na atapata risiti zote halali za kodi, hapa tayari ashapata cover up.
4. Nyumba ikikamilika anatafuta wapangaji au anaiuza na anawaambia walipie kupitia bank. Kama ikitokea TRA au serikali ikamuuliza haya mabilioni bank umetoa wapi anawaonyesha risiti za ujenzi boom kazi imeisha. Money laundering imefanyika.
Serikali na vyombo vyake hawajaamua sababu ni wao,kumjua mtu kuwa katatkatisha pesa ni jambo rahisi sana, lazima atapata kigugumizi cha kueleza alipata wapi hizo pesa,ie chanzo, kodi na thamani ya mali alizonazo, wakiamua ni kitu cha sekunde tu.We sema hawafuatiliwi, wakifuatiliwa Risiti za ujenzi tu zinazaa swali la unajengaje hizi nyumba.
Sasa hapo ndo umejifichaje? Sema Tanzania issue ya utakatishaji fedha ni rahisi sana na hakuna anayejali.Ngoja nikuonyeshe jinsi mchezo unavyofanywa.
1. Kigogo serikalini anaiba $600,000 cash kwenye dili fulani sasa hii pesa inabidi iingizwe sehemu ili iwe safi, kukaa nayo ni hatari inabidi iingizwe sehemu haraka. Hawezi kupeleka bank maana ataulizwa imetoka wapi hii pesa.
2. Huyu kigogo anaamua kununua plot of land cash kwa gharama yoyote hapo Dodoma. Kumbuka watu wanaojaribu kufanya money laundering lengo si kutengeneza faida au kupunguziwa bei, lengo ni kuhakikisha pesa chafu inageuzwa safi kwa haraka ili itumike. Ukiwa na $300,000 of dirty money hiyo value yake ni sawa na $0 kwenye uchumi halisi.
3. Kiwanja kikishanunuliwa sasa atamtafuta contractor/builder atapatana naye na atamlopa cash eg ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa nyumba etc na atapata risiti zote halali za kodi, hapa tayari ashapata cover up.
4. Nyumba ikikamilika anatafuta wapangaji au anaiuza na anawaambia walipie kupitia bank. Kama ikitokea TRA au serikali ikamuuliza haya mabilioni bank umetoa wapi anawaonyesha risiti za ujenzi boom kazi imeisha. Money laundering imefanyika.
Kabisa mkuuSerikali na vyombo vyake hawajaamua sababu ni wao,kumjua mtu kuwa katatkatisha pesa ni jambo rahisi sana, lazima atapata kigugumizi cha kueleza alipata wapi hizo pesa,ie chanzo, kodi na thamani ya mali alizonazo, wakiamua ni kitu cha sekunde tu.
Ivyo ndo utaichenga serikali ikikutaka kukufuatilia ? Ndugu utadakwa asubuhi kabla ata jogoo halijawika. Njia izo zinaonekana zinafanywa na watu hawadakwi sababu wanatokea humo humo ktk mifumo au wahusika wanakula na watu wa vitengo.Ngoja nikuonyeshe jinsi mchezo unavyofanywa.
1. Kigogo serikalini anaiba $600,000 cash kwenye dili fulani sasa hii pesa inabidi iingizwe sehemu ili iwe safi, kukaa nayo ni hatari inabidi iingizwe sehemu haraka. Hawezi kupeleka bank maana ataulizwa imetoka wapi hii pesa.
2. Huyu kigogo anaamua kununua plot of land cash kwa gharama yoyote hapo Dodoma. Kumbuka watu wanaojaribu kufanya money laundering lengo si kutengeneza faida au kupunguziwa bei, lengo ni kuhakikisha pesa chafu inageuzwa safi kwa haraka ili itumike. Ukiwa na $300,000 of dirty money hiyo value yake ni sawa na $0 kwenye uchumi halisi.
3. Kiwanja kikishanunuliwa sasa atamtafuta contractor/builder atapatana naye na atamlopa cash eg ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa nyumba etc na atapata risiti zote halali za kodi, hapa tayari ashapata cover up.
4. Nyumba ikikamilika anatafuta wapangaji au anaiuza na anawaambia walipie kupitia bank. Kama ikitokea TRA au serikali ikamuuliza haya mabilioni bank umetoa wapi anawaonyesha risiti za ujenzi boom kazi imeisha. Money laundering imefanyika.
Ngoja nikuonyeshe jinsi mchezo unavyofanywa.

Unamfahamu Bhanji!??Una maana maghorofa yana nyanyuka kaka si mchezo nilikua naishi pale NYUMA ya makao makuu ya ccm, mji mpya vipi bro na hapo mbanda zimenynyuka?
Hakika, vikitaifishwa wasilie lie tuu.Kuwa mpole mkuu pengine wanaisaidia kujenga serikali ya badae nyumba za watumishi wake na ofisi
Labda Kwa sura kaka, nilimuona neza mjua kama alikua mission townUnamfahamu Bhanji!??