Mafisadi pia wanasafishia pesa zao Dodoma, inflated real estate

Serikali na vyombo vyake hawajaamua sababu ni wao,kumjua mtu kuwa katatkatisha pesa ni jambo rahisi sana, lazima atapata kigugumizi cha kueleza alipata wapi hizo pesa,ie chanzo, kodi na thamani ya mali alizonazo, wakiamua ni kitu cha sekunde tu.
Hao watu wa serikali na wavyombo ndio watakatishaji. Hakuna tajiri Tanzania anayetoa hela nje na kuzileta nchini wote wanategemea hela ya serikali iliyokusanywa.
 
..iko wazi kabisa, dodoma inajengwa kwa pesa za ufisadi na utakatishaji wa kiserikali nyumba nyingi mpya ni za maafisa wa serikali kwa pesa za wizi..!
 


Wash wash gangs.
 
Bongo pamoja na mauza uza yake wakiamua kukufuatilia kisawa sawa kwenye kutakatisha pesa wanakudaka. Mianya ya kutakatisha pesa haramu inafahamika lakini yote yanategemea mwelekeo wa "rais" kwa wakati huo.
 
Wakilinganisha gharama ya ujenzi na kipato chake bado inaweza kuleta maswali
 
Dogo bora ukae hukohuko dodoma usirudi tena chuga ushikishwe ukuta na kisu. Chuga ni kwa wanaume tu.
Umesema kweli kabisa chuga sirudi mashoga wengi sana, nimeshuhudia machalii wazee Kwa vijana wakishikishwa ukuta, Kuna wengine hizo sio tamaduni zetu, nyie nasikia ni ka utamaduni, ukishiba mirungi jicho linakmtoka ka mjusi kabanwa na mlango mnakulana balaa, Kwa kweli sirudiko
 
Bado anaweza kupewa kibano mpaka atuambie hiyo $300,000 aneipata wapi kununulia kiwanja.

Aonyeshe kama ni mshahara, biashara, kandarasi, bahati nasibu au, au au,, mpaka aseme. Mbona rahisi tu.

Labda azikabidhi kwa mfanyabiashara fulani na biashara iandikishwe kwa jina lingine.

Hii Serikali imeruhusu uporaji na kusababisha ugumu wa maisha makusudi tu. Japo watadai ni mzunguko wa fedha ndani ya Nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…