Mafua ni ugonjwa jamani!

Mafua ni ugonjwa jamani!

Yaan hata kupika nimeshindwa....mambo siyo mambo... Kichwa kinauma,naona Kuna dalili ya kikohozi.....wanaosema Bora uumwe mafua kuliko Nini sijui....ndugu yangu yanakuwa hayajakukamata aisee.[emoji1784][emoji3062]

Hivi mafua Lazima huambukizwe? Au huwa yanakuja tu automatically? Simaanishi namhisi mtu,nauliza tu[emoji134]
Mafua (common cold) yanasababishwa na virus mara nyingi ni influenza family ni airborne disease yanaambukizwa Kwa njia ya hewa

Mode of transmission ni kupitia droplets mtu akicheka ,akipiga chafya ,akikohoa hayo matone

Unaweza kupata directly endapo hizo droplets za mate au kamasi zikiluka na kufikia kwako moja Kwa moja

Piah indirectly Kwa kugusa sehemu ambayo Ina hao species then ukajigusa maeneo ya puan na mdomoni

NB hayana utofauti ni njia zamaambukiz za COVID
 
Asante, nimekuelewa mkuu
 
Treatment
Mafua hayana dawa ila Kuna symptomatic treatment na non pharmacological treatment
Symptomatic treatment utapata ukienda kituo Cha afya

Kunywa hot drinks
Light diet
Pumzika (bed rest)
Funika mdomo wako ukikohoa kupiga chafya au kucheka Ili usieneze Kwa wengine
 
Back
Top Bottom