hiyo simu kama iliingia maji kwangua na wembe kwanza kwenye njia za mwanga uangalie kama hazijakata.Hiyo taa niliyoweka jumper haikuwepo nimechukua taa ya nokia 1280 nimejumper namna hiyo.
Sehemu niliyoweka TWIZER nataka niweke jumper
nimebadili kioo kipya kinasoma ila tatizo hakioneshi mwanga.
NI HAYO WAKUU.
hazole1
Hat touch pekeake zipo ni sh'elf 12 tu bila ufundihiyo touch na kioo vinatoka complete kwahiyo hapo kwa dar wanauza kama sh. 80000 ila bado hela ya ufundi.
ila inatakiwa hapo kwenye maeneo ambayo upo jaribu kumtafuta fundi mzuri. ujifunze kwanza ule mwanzo wa ufundi. kwa mfano kufungua simu. kuunga mic. kuunga speaker. kubadilisha vioo. kubadilisha temino. kubadilisha syestem chaji. na ujifunze kutumia mita hata kidogo.Mimi napenda kuwa fundi simu ila sijui kozi zakusoma naweza kupata msaada kozi zipi na chuo kipi kinafundisha hizi mambo
mpekee tena huyo fundi aingalie tena.Habari mh, mtaalam wa sim..Nina sim aina ya Nokia asha201 tatizo lake ilizima gafla tuu... Baadae nikaipeleka kwa fundi akaiflashi ikawaka sasa nikanunua na betr mpya sasa tatizo limerudia tena hata kama betr inachaji haiwaki au ionyeshe MwaNgA kisha inazima moja kwa moja tatizo n nn mkuu
hiyo labda itakuwa imeua memory. kwamaana huawei huwa zinatabia hiyo.Wakuu mi sio mtaalamu wa hardware ila nipo fiti kwenye software tatizo langu nimepata huawei g610-u00 nataka kuiflash lakin haitaki kudetect... Nikiiwasha inaishia kwenye logo tu... Nimeweka collect drivers lakin bado haitak kudetect
Mkuu,uwezekano wakupasuka ni mdogo san 0.000001%.sasa mziki unakua pale kwenye kuitoa na kioo kinaweza kupasuka.
mkuu labda sisi kwasabu huwa tunakomaa kutolea bloa na ndio maana sometime huwa zinazingua.Mkuu,uwezekano wakupasuka ni mdogo san 0.000001%.
Kama mimi sijawah kupasua tangu hizo touch zianze kupatkana.Si izo tu,hat J7,C8,C9,L8...
Haikuingia katika maji ilzima tuu.hiyo simu kama iliingia maji kwangua na wembe kwanza kwenye njia za mwanga uangalie kama hazijakata.
Mkuu hazole1 na wengine, ninaweza kupata Screen ya Samsung Galaxy s5sasa mziki unakua pale kwenye kuitoa na kioo kinaweza kupasuka.