taa kwenye nokia au sim yeyote haiwez kuungua maana mfumo wa hzo taa n diode ambayo volts inaingia hapo n consant apo n ishu n ic faults,npe model yke nkusaidieHiyo taa niliyoweka jumper haikuwepo nimechukua taa ya nokia 1280 nimejumper namna hiyo.
Sehemu niliyoweka TWIZER nataka niweke jumper
nimebadili kioo kipya kinasoma ila tatizo hakioneshi mwanga.
NI HAYO WAKUU.
hazole1
Yangu nilinunua 300,000/-inazaid ya mwaka.Sina uhakika wa bei ya sasamkuu labda sisi kwasabu huwa tunakomaa kutolea bloa na ndio maana sometime huwa zinazingua.
ila saizi nilikua na mpango wa kununua mashine ya kubadilishia. hivi hapo mjini huwa zinatembea bei gani?
tafuta hata basi ya umeme akat unajipanga maana knachohitajika n heat tuYangu nilinunua 300,000/-inazaid ya mwaka.Sina uhakika wa bei ya sasa
Jaribu kuiformat kwa sp flash toolNilitumia miracle box.Batri inakuwa na chaji yakutosha
Tumia sd card upgrade 10000% uhakika.. bt cyo sd cards zote zinazokubali, km ni fundi hope unalijua hlo... ikishindikana kabisa kata usb cable then tafuta DM,DP,GND na VBAT hzo ni mbadala wa hyo usb yakoWakuu mi sio mtaalamu wa hardware ila nipo fiti kwenye software tatizo langu nimepata huawei g610-u00 nataka kuiflash lakin haitaki kudetect... Nikiiwasha inaishia kwenye logo tu... Nimeweka collect drivers lakin bado haitak kudetect
Kuna 303 za kawaida na pia kuna hi link ambazo hazina installation yaani ukichomeka inajifungua yenyewe browser.. hyo yako ni ipi?Wezangu wa software nko na modem ya vodacom huawei E 303 nataka niunlock
Invalid imei huwa inaendana na unknown baseband.. go to settings halafu about phine kisha baseband.. kama baseband ipo basi unarepair tu imei bt kama base band ni unknown unatakiwa ku write NVRAM.. unaweza pata nvram kwa kufanya backup kutoka kwenye cmu kama hyo au cmu yenye same cpu yaani 6572Wakuu hivi tatizo la inviled IMEI kwenye tecno m3 baada ya kuflash lina fixisiwa vp na ikiwa IMEI kwenye sticker yake nyuma chini ya bettery imeshafutika kbsa haionekani msaada tafadhalini.
Mkuu nicheki 0713522447 pia ntaipata wapiHat touch pekeake zipo ni sh'elf 12 tu bila ufundi
Mwanzo nilivunja san vioo vya watu(ila nilikuw mjanja,nlikuw nawaambia wateja kuw kuna uwezekano wakuvunjika.So,tunakubaliana kabsa kikivunjia tunaweka complete)bei nzuri na ninajua itakuwa itakuwa haijashuka kwasbabu saizi makufuli kila kitu anataka ushuru.
vipi changamoto ya kutumia hiyo mashine.
NtakuchekMkuu nicheki 0713522447 pia ntaipata wapi
kazi yetu ni sawa na ya udokta ila madokta kuna bàadhi ya sheria zinawalinda kwa mfano madokta wanapo ingia kwenye kazi ngumu kwa mfano ya aparesheni huwa mnasaini.Mwanzo nilivunja san vioo vya watu(ila nilikuw mjanja,nlikuw nawaambia wateja kuw kuna uwezekano wakuvunjika.So,tunakubaliana kabsa kikivunjia tunaweka complete)
Nilishaiprove,sivunji tena.
Kuna mazingatio yakufata.Ukivingatia hutavunja
Watu wanabadilisha mpaka IMEI (wenyewe wanaita kubadili dini) za simu za wizi sembuse kuflash.ujue hyo n illigal mzaz,kampun huska wakikushika n ahda ila inawezekana vzur tu
Jana nlikuwa nmevurugwa chief hyo kazi nenda.kkoo agrey watakufanyia haizidi buku 10.fundi software tu unlock simu yangu basi itumie line zote
*Hakuna kitu kinaitwa ufundi wa simu kwa kompyuta,.kuna fundi wa hardware na fundi wa software.*Msaada nataka kuanza ufundi simu na computer.... mi sio fundi ila nina idea ya kutengeneza na ni mwepesi nikielekezwa... kwa sababu nishagusa gusa ivyo vitu kipindi cha nyuma.... shida yangu mi hivi.
Naomba nitajiwe list ya vifaa vyote ninavyoitajika kuwa navyo vitakavyohusika kutengeneza simu na comp... kuanzia scree mpaka mwiisho... tafadhar wadau
Imei change ni illegal worldwide mzeeFlashing and unlocking cyo kosa kwa hapa TZ bt kuna some countries ndo hawaruhusu network unlocking.. ieleweke kuna imei repair na imei change, imei repair cyo kosa kisheria ni kufanya restoration of phone's original imei ila kwa hapa TZ imei change ndo kosa...