yes wipe cache 'chagua hapo muhimimu km rom ikovizuri itawaka'Naenda yes wipe cache
ndiyo iki vibrate tu ujue imewaka ila subiria kwa muda usiwe na harakaKisha na reboot system kama kawaida
Niki iweka kwenye chaji vipi maana inaonyesha %19ndiyo iki vibrate tu ujue imewaka ila subiria kwa muda usiwe na haraka
sawa inategemea na uhai wa hilo betri 'bye for now'Niki iweka kwenye chaji vipi maana inaonyesha %19
Asante sana MR. ngoja niisubiri japo haija badilikasawa inategemea na uhai wa hilo betri 'bye for now'
km haija waka download file ambalo nimekupa details flash na ODIN ikimaliza wipe data then wipe cacheAsante sana MR. ngoja niisubiri japo haija badilika
Nikirudishia betri inawaka mara moja (immediately).Pole hiyo day 4 ilipaswa wakupe nyingine. swali ukirudishia hilo betri kuwaka inachukua muda gani
Nikirudishia betri inawaka mara moja (immediately).
Android ukiweka betri bila kusubiria kwa sekunde 10 itawaka tuNikirudishia betri inawaka mara moja (immediately).
Nashukuru sana mkuu Benny lakini hapo sijakuelewa.Android ukiweka betri bila kusubiria kwa sekunde 10 itawaka tu
Simu za Android ile nzima km ilikuwa iko on ukatoa betri na kuweka bila kusubri sekunde 10 zikapita ukaliweka say in 2 seconds itawaka mfano km ulikuwa una badilisha switch ukitaka kujua ina fanya kazi hesabu hadi sekunde 10 ndiyo uliwekeNashukuru sana mkuu Benny lakini hapo sijakuelewa.
Ahsante hapo nimekusoma vizuri mkuuSimu za Android ile nzima km ilikuwa iko on ukatoa betri na kuweka bila kusubri sekunde 10 zikapita ukaliweka say in 2 seconds itawaka mfano km ulikuwa una badilisha switch ukitaka kujua ina fanya kazi hesabu hadi sekunde 10 ndiyo uliweke
karibuAhsante hapo nimekusoma vizuri mkuu
Nimetoa system chaji bado inajichaji, kuna dayodi nimetoa imeacha kuchaj sasa nataka ichaji mkuuKwanza itoe hiyo system chaji uangalie kama inaendelea kujichaji.
Dayodi uliotoa ni ipi mkuu.Nimetoa system chaji bado inajichaji, kuna dayodi nimetoa imeacha kuchaj sasa nataka ichaji mkuu
Dayodi uliotoa ni ipi mkuu.
na kama unaswali lolote linalohusu tecno au itel upande wa hardware naomba uniulize ila uahakikishe ww ni fundi.