Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

hapa cjaelewa file iki corrupt inaltaje short circuit? hapo afatilie tu mkanda wa display no isue ya bord kwanza ungemuuliza kama akitumia external monitor inafanya kazi
 




Wakuu inawezekana hili TATIZO LA HUAWEI Y300 kujiwasha na kisha kuonesha INAJICHAJI ni tatizo kubwàaaaaà?

Mafundi wawili wameishindwa.

kubadili IC charging bado haijawa suluhu nin tatizo hapa wakuu
Niliipeleka kariakoo wakaniambia niitupe.


Nikarudi nikamshauri mteja ahifadhi Wenda nikapata suluhu siku moja


[emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2]


Kesho yake akaja nayo imepona kuna fundi kitaani mbali na nilipo kaiponyesha.




Nikagundua kitu mafundi wengi hawapendi simu pasua kichwa hasa kariakoo.


Kesho naenda kumuuliza nini lilikuwa tatizo yule fundi.




Hardware ustahimilivu.[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Sent from my Vodafone 785 using JamiiForums mobile app
 
Ni vyema sana ukawa kote kote maana haya mambo yanategemeana sana

Ukiishi kwa kumtegemea mtu wa hardware au software ipo siku utakwama kwakuwa mtaalamu wako hayupo
Mkuu unapatkana wap?
 
Msaada natafuta kioo cha Motorola NEXUS 6 PLIZ PLIZ ambae anaweza nisaidia kukipata itakuwa poa anicheck pm
 
Nina ttz la samsung j1. Battery ya kwanza ilivimba. Nimenunua nyingine muda wa miez miwili sasa nayo imeanza kuvimba. Na ni genuine battery!
 
Jamani naombaeni mnisaidie namna ya kuflash simu alcatel PIXI 4 hii kwani nikibonyeza batan ya power na ya kupandishia sauti inanilete recovery na boot lakini nikibonyeza recovery inaandika no command msaada wenu jamanii
 
Jamani naombaeni mnisaidie namna ya kuflash simu alcatel PIXI 4 hii kwani nikibonyeza batan ya power na ya kupandishia sauti inanilete recovery na boot lakini nikibonyeza recovery inaandika no command msaada wenu jamanii
uko wapi mkuu
 
Jamani nina tecno c8 nikichaji inachaji taratibu inaweza kuchukua siku nzima naombeni mnisaidie
 
Kariakoo mafundi wa hardware wale ambao ni wa ulkweli kabsa sio rahisi kuwaona hiv hiv kama ww ni beginner katika hii kazi. Kwahyo kama uliwaperekea wale wa nje mezani lazima useme hvo. Ila kwa hilo ulilosema kuwa mafundi wa kariakoo hawahangaiki kazi pasua kama hizo, hilo ni kweli, maana ni wavivu na wanaangalia pesa tu za haraka.
 
Natafuta mashine ya HTC one m7 internation version mwenye nayo aniPM tufanye biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…