mi ni fundi ila sijabobea ktk fni, hizi tecno t340 kuweka mic kwangu ni shida, na kutumia mita nibaini kuwa cm hii itawaka au la, mtandao nokia 1280, contact service nokia x2 please nisaidie kakana kama unaswali lolote linalohusu tecno au itel upande wa hardware naomba uniulize ila uahakikishe ww ni fundi.
hujajieleza vizuri lkn nakujibu nilivyo elewa km contact service ni ya nokia x2 huwa inatokami ni fundi ila sijabobea ktk fni, hizi tecno t340 kuweka mic kwangu ni shida, na kutumia mita nibaini kuwa cm hii itawaka au la, mtandao nokia 128, contact service nokia x2 please nisaidie kaka
kwa huyo wa w4 hapo jaribu kutenganisha hilo betri na body na kisha weka tena itawaka vizuriyaani tatizo lako km langu vile gharama elfu 80 [emoji19] [emoji19]
kwa hii tecno w4 niliwah fix kwa njia hyomkuu acha kumdanganya hujui matatzo ya tecno mm ndo nafahamu kuwa ni saket[emoji19]
Nini maana ya kufix ?kwa hii tecno w4 niliwah fix kwa njia hyo
kwa hii tecno w4 niliwah fix kwa njia hyomkuu acha kumdanganya hujui matatzo ya tecno mm ndo nafahamu kuwa ni saket[emoji19]
Nini maana ya kufix ?
Nipe model ya hiyo tecno.HAZOLE 1 nikikuletea simu iliyigoma kusoma usb una hakika ya kuiwezesha kusoma? Simu yangu ya tecno ina matatizo upande wa siftware. Huwa kama ni software natengeneza mwenyewe maana sansung j5 yangu iliwahi kufeli upande huo nikawapelekea mafundi wawili tofauti niliowaamini wakashindwa. Nilitulia nikaifufua mwenyewe ila ilinichukua almost a week.
msaada contact service x2 nitaitoaje kaka ilishanishinda na ninaipenda sana hii cm yangu au mganga hajigangi!hujajieleza vizuri lkn nakujibu nilivyo elewa km contact service ni ya nokia x2 huwa inatoka
Mkuu kwa 200 kaz kwishaWakuu nina galaxy s4 imekufa display naomba kujua gharama za utengenezaji
Badlisha hvo vinavyopata motoNimeivua kila kitu na kuipiga mswaki lakin wapi mkuu
Hiyo ya 820 ya kuflashiwaNiliwahi kuleta simu yangu ya HTC ONE VX kariakoo kwa ajili ya replacement ya screen, tumbo liliuma the way jamaa alivyokuwa anaifungua kama anapigana mieleka. Mwisho wa siku screen haikupatikana, kuirudishia camera ikagoma kufanya kazi vizuri.
Mpaka leo nimeitupa humu ndani kwa mwenye kuitaka kwa ajili ya spea anijulishe. Tatizo lake ni screen tu.
Tatizo la kurestart kwa HTC Desire 820s Dual Sim ni kitu gani mkuu? Ni hardware au ni software? Au hapa ni kwa wale wa Tecno tu?
Mimi sio fundi Bali nimevutiwa kupita hapa
Malizia x2-????msaada contact service x2 nitaitoaje kaka ilishanishinda na ninaipenda sana hii cm yangu au mganga hajigangi!
imeshindikana vp umeenda custom service duka la TecnoYangu imebaki vilevile tu imeshindikana kabisa
peleka custom service haishindikani jomba wataitengeneza na kupona ila andaa mpunga mzitoYangu imebaki vilevile tu imeshindikana kabisa
Hiyo yawizi nakushauri uifanye toy mana iPhone nawajua huwez kuchange icloud kizembe sio tecno hiyoMafundi nataka kuondoa icloud ID kwenye iphone 7, nafanyaje?
tulishaitoa kakaHiyo yawizi nakushauri uifanye toy mana iPhone nawajua huwez kuchange icloud kizembe sio tecno hiyo
Tecno mizinguoWadau mi nina Techno Y2 ina miezi mitatu tangu niinunue lakini siku nne baada ya kui ununua ikaanza kujizima niliporudi dukani wakanambia labda tatizo ni betri wakanipa betri nyingine lakini hali ikawa ni ileile.
Ikijizima haiwaki mpaka utoe betri halafu uirudishie.
Nimeongea na watu kadhaa wanaomiliki simu kama hii wameniambia kuwa wana tatizo hilo hilo.
Waungwana naomba ushauri wenu kuhusu tatizo hili.
Natanguliza shukrani