Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

msomali90 vladimir fuschs hazole1 na wataalamu wengine nashukuru sana kwa kunidsaidia hiki kimeo changu . Yani sijui hata niwashukuruje bandugu sijui nisemeje.
Elimu haina mwisho kwakweli nashukuru nami nimejifunza na kujua kitu hapa kwenye huu uzi
Nashukuru nashukuru nashukuru nashukuru sana inshallah mungu awabariki wataalamu.
I'm so so so so so happy hapa yani dahhhhhhhhhhh [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]


Cc Smart911
 
Wakuu mimi nina tatizo kwenye tecnoCamonC9 nikiwasha hotspot au bluetooth ina jioff baada ya sekunde kama tano hivi msaada tafathali nini shida hapo.
 
Hapo katika keep wifi on ndo same na visibility timeout
 
Bado hii huawei ina sumbua call ended
Nikiwa kwenye setting call
Iko call settings error
Network or sim card error
Hyo huawei waperekee mafundi wa software wakaiflash. Then uprove itakuwa vp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…