Toleo la mwaka gan???Samsung j7 screen imekufa kabisa je inaweza kutengenezeka
Ili anzaje angalia baseband na imei km zipo hizo imei zihakiki kwa kutuma kwenda 15090Nina tecno Boom J 8 inasoma emergency Muda wote isipokuwa kuna wakati inasoma na kupotea
Tecno Telecom (HK) Limited - BOOM J8 - Kama aina iliyotajwa haioani na simu yako, ibadilishe kwani ITAFUNGIWAIli anzaje angalia baseband na imei km zipo hizo imei zihakiki kwa kutuma kwenda 15090
Ili anzaje angalia baseband na imei km zipo hizo imei zihakiki kwa kutuma kwenda 15090
Wakuu habari zenu.
Samsung haiwaki mpaka uchomeke chaji ndipo uiwashe inawaka.
Nipeni suluhisho la tatizo hilo.
Safi julisha km hizo imei ndizo ambazo ziko kwenye hiyo simu namaanisha km zina ona na hizo zilizo bandikwa kwenye simu yakoTecno Telecom (HK) Limited - BOOM J8 - Kama aina iliyotajwa haioani na simu yako, ibadilishe kwani ITAFUNGIWA
delete hizo imei usiziweke public tfadhali
Samahani mkuu sija kuelewa kumjulisha vipi? MrSafi julisha km hizo imei ndizo ambazo ziko kwenye hiyo simu namaanisha km zina ona na hizo zilizo bandikwa kwenye simu yako
delete kwanza hizo imei za simu yako ulizo ziweka hapo nimekwambia julisha km hizo imei ambazo zinaonekana ndani ya hiyo simu km zina fanana na hizo za nje yaani zilzo bandikwa kwenye hiyo simu yakoSamahani mkuu sija kuelewa kumjulisha vipi? Mr
Dah aisee kwelikweli hazifananidelete kwanza hizo imei za simu yako ulizo ziweka hapo nimekwambia julisha km hizo imei ambazo zinaonekana ndani ya hiyo simu km zina fanana na hizo za nje yaani zilzo bandikwa kwenye hiyo simu yako
Ndiiyo sababu zifute basi hapa alafu nikuelekeze bana
Hata sijui maana haionyeshiToleo la mwaka gan???
mgumu kuelewa nimekwambia delete hizo imei ulizo post vinginevyo zoezi lako litakuwa gumu