Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

y3+ tecno kila ukipigiwa simu busy, nimeifanyia hard reset lakini tatizo bado
 
wakuu nina HTC 620. Inazima mara kila nikiitoa kwenye charger. ila ikiwa kwenye charger naweza kuitumia vizuri. tatizo kubwa ni nn...

maana nilisha reboot nikaiformat nanikaiflash lakini tatizo bado.
 
wakuu nina HTC 620. Inazima mara kila nikiitoa kwenye charger. ila ikiwa kwenye charger naweza kuitumia vizuri. tatizo kubwa ni nn...

maana nilisha reboot nikaiformat nanikaiflash lakini tatizo bado.
Battery au connector ya battery upande wa circuit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…