Na simu ni Nokia Lumia sio XL.Hapana mkuu nipo Arusha huku.
Tatzo hadi inakuwa hvo ilisababishwa na nini????SM-G357FZ
By experience naweza sema itabid ufanye system installation upya kwa maana uflash firmware upya.Samsung galaxy note 5 inarestart yenyewe ¡¡ shida ni nini???
Tatzo hadi inakuwa hvo ilisababishwa na nini????
sifahamu maana ilianza yenyewe then nikapeleka kwa watu wa software Kama wawili wakanambia inagoma kupokea file hivyo sacket ndo inamatatizo au wakanishauri ninunue saket nyingineTatzo hadi inakuwa hvo ilisababishwa na nini????
Nunua circuit mzeesifahamu maana ilianza yenyewe then nikapeleka kwa watu wa software Kama wawili wakanambia inagoma kupokea file hivyo sacket ndo inamatatizo au wakanishauri ninunue saket nyingine
Mkuu huu uzi niliunzinzisha ila nimeshindwa kujibu maswali kwa wakati ila nashukuru kwa kuwa umekuwa bega kwa bega na huu uzi na wengi.Audio ic ndo chenga. Ambayo inasiama kama amplifire...
iweke kwenye download mode isipo restart itakuwa ni software problemSamsung galaxy note 5 inarestart yenyewe ¡¡ shida ni nini???
Tunasubiri huo mchoro Mkuu.Mkuu huu uzi niliunzinzisha ila nimeshindwa kujibu maswali kwa wakati ila nashukuru kwa kuwa umekuwa bega kwa bega na huu uzi na wengi.
Na ninaomba usikate tamaa na endelea kuwa na moyo huo huo.
Na saizi nimegundua solution ya ya mic za simu za MTK zote ambazo hazitumii mic ya digital
Kuanzia ile tecno t340 saizi mic itakuwa inafanya kazi bila kuchukulia kwenye headset.
Ngoja nipate muda nitakuchorea mchoro
Simu aina gani hyosimu yangu nikipiga tu simu screen inakuwa haionyeshi kitu...ili niweze kukata simu ni mpka nichomeke headphones ndo screen inakuwa active....au mpka nimwambie mtu niliempigia akate simu...mwenye uelewa wa hilo anisaidie..
i tried some tricks but now inafanya loop restart inaanza kama inawaka but after showing note 5 logo inarestart tena na tena...iweke kwenye download mode isipo restart itakuwa ni software problem
Latest version labda 2GB au zaidii tried some tricks but now inafanya loop restart inaanza kama inawaka but after showing note 5 logo inarestart tena na tena...
kuload software upya inacost kiasi gani cha muamala?
okay na gharama yake ni kiasi gani?Latest version labda 2GB au zaidi
Tunasubiri huo mchoro Mkuu.
uliwah ifungua? sensor ya mwanga haijarudishiwa kabsa so unapopiga unakua kioo cheusi, ni simu ganisimu yangu nikipiga tu simu screen inakuwa haionyeshi kitu...ili niweze kukata simu ni mpka nichomeke headphones ndo screen inakuwa active....au mpka nimwambie mtu niliempigia akate simu...mwenye uelewa wa hilo anisaidie..
nmebadil karibia file zote lakin kitu emptyJaribu kuchange firmware au angalia mtk yake kama ina aina mbiri au kadhaa...
Sawa mzeeMkuu huu uzi niliunzinzisha ila nimeshindwa kujibu maswali kwa wakati ila nashukuru kwa kuwa umekuwa bega kwa bega na huu uzi na wengi.
Na ninaomba usikate tamaa na endelea kuwa na moyo huo huo.
Na saizi nimegundua solution ya ya mic za simu za MTK zote ambazo hazitumii mic ya digital
Kuanzia ile tecno t340 saizi mic itakuwa inafanya kazi bila kuchukulia kwenye headset.
Ngoja nipate muda nitakuchorea mchoro