Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Hata vispd mzee hii inaweza fanya kazi. Hongera mzee
 
Wakuu nahitaji display ya samsung galaxy note 3 N900. Na pia kuna note 3 n9005 imekufa imei. msaada wakuu
 
Nina huawei yangu y330 inawaka lakini haimalizi inaishia kwenye jina tu la huawei, sasa nimejaribu ku flash lakini bado tatizo lipo pale pale. Sasa wakuu anaejua tatizo ni nini? Na labda kuna uwezekano wa kupona?
 
We fundi au mtumiaji wa kawaida???
 
Wakuu msaada display ya hii simu...
 
mi nina tecno W3 katika alakati za kuiflash ilizama lakn niki connect kwenye pc inaonekana kwenye divaic sasa je kunauwezekano wakuwaka tena na ni firmware ipi inaweza nisaidia ikawaka
 
W3 au w3lite????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…